MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Kahama ina tatizo la ubovu wa barabara zake hasa katika kata za Majengo,mMhongolo,Malunga,Nyahanga na Nyasubi.
Kumekuwepo na malalamiko kuwa,kila inapofika masika maji yanasumbua sana kutokana na miundombinu zake kuwa mibovu.
Maji yanafata makazi ya watu na kuharibu, hii inakera sana kwa sababu wilaya hii ina utajiri mkubwa sana na mapato yake ya ndani yako juu ila nashangaa kwanini miundombinu iko hivi!!!
Serikali tunaiomba ishughulikie suala hili.