Hali ya maisha ngumu, tunataka mishahara yetu na posho zetu za kukaa ziongezweeeeeee

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, matumizi yetu yametuzidi, tunataka nyongeza za mishahara na posho za kukaaaaaaa!
 

Attachments

  • matumizi.jpg
    8.8 KB · Views: 234
he he he mbona fungu la bia na totoz makubwa sana kuliko la basic needs?
 
Nahdani itakuwa ndo bajeti za vijana wa leo, cjui kama tutafika kwa hali kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…