mazao mengi hayajafanya vizuri nazani mabadiliko ya mbolea limekuwa ni tatizo, kwa mfano mimi nimetumia, mijingu, chokaa, NPS na DAP kwa sababu , NPK, CAN na TSP zinaonekana sokoni kwa kuvizia , TSP ambayo kwangu ni bonge la mbolea haipo kabisa sokoni, so nalazimika kutumia mijingu as mbadala wa phosphorus