Hali ya Kisiasa Igunga: Mwenye taarifa Atujuze!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
mkuu baada ya kujivua gamba hapo jana hali ya kisiasa igunga ikoje? Upepo upo upande upi, magamba or upinzani?
 
kwanza kabla ya kwenda ukumbini wajumbe walisafirishwa kutoka sehemu mbalimbali za Igunga,wakapigwa na Chai then wakapewa 30,000 @. Baada ya hotuba ndeeeeefu ilipofika pale kwenye kunyofoa gamba baadhi wa wapiga kura wakazimika (faints) wazee wakapinga wamama wakalia lakini ukumbuke kuwa wakati wanazimia na kulia mifukoni na kwenye matumbo wana chapati na vinyango kadhaa za nyama ya mbuzi, na 30,000. Hiyo ndio hali halisi ya kisiasa . Lakini kaka kwa taarifa HUSSEIN BASHE Ndie Mrithi wa Rostam Igunga kaa tayari
 
Sasa ndio naiona Logic ya wazee na wanawake wa Igunga kumlilia Rostam Azizi, aliwazoeasha bwelele sasa kuondoka kweke signify watamiss anasa zake! Kazi kweli kweli duh!
 
duh! HUSSEIN BASHE atatoka Nzega? Najua akitandaza mkwanja anachukua jimbo kirahisi huyu dogo! He is a good guy!
 
kwanza kabla ya kwenda ukumbini wajumbe walisafirishwa kutoka sehemu mbalimbali za Igunga,wakapigwa na Chai then wakapewa 30,000 @. Baada ya hotuba ndeeeeefu ilipofika pale kwenye kunyofoa gamba baadhi wa wapiga kura wakazimika (faints) wazee wakapinga wamama wakalia lakini ukumbuke kuwa wakati wanazimia na kulia mifukoni na kwenye matumbo wana chapati na vinyango kadhaa za nyama ya mbuzi, na 30,000. Hiyo ndio hali halisi ya kisiasa . Lakini kaka kwa taarifa HUSSEIN BASHE Ndie Mrithi wa Rostam Igunga kaa tayari

Kwa jinsi unavyosimulia yaelekea ulishuhudia kwani jamaa yangu kanihabarisha sawa na maandishi uliyoweka hapo ila yeye akaongezea kuwa kulikuwa na basi moja lililoandikwa MSS ambalo lililochukua wahuni wa Bashe toka Nzega wakiwa na pamba za kijani na kofia pia wakiwa wametayarisha mabango yale yaliyoonekana, amezidi kueleza kuwa hata wale waliokuwa wanalia na kuzimika tayari walishaandaliwa mapema na kukatiwa chao mapema na kuwekwa mbele ili waonekane kwa waandishi kama 10 hivi ambao RA alienda nao special kwa event hiyo...

Hii inanikumbusha siku hizi watu wakipata matatizo ya kufiwa na hawana mawasiliano mazuri na jamii basi hukodisha watu wa kuimba mapambioo na wakulia, Mchungaji wa kuzika ambaye ki ukweli huwa si halali lakini mazishi hufanyika,

Kuhusu Bashe kuwa mrithi wake hilo ndugu yangu labda wana igunga wote tuwe tumekufa,
 
Naipenda Tanzania na sanaa zake ila kama ccm wanataka kaburi la kusahauliwa milele jimboni hapo wamweke mtu dhaifu maana kwa udhaifu ambao tayari umekwishaonekana na chadema kujiongezea umaarufu wasitegemee
kupata ushindi wa chee itakuwepo kazi kubwa
 
duh! HUSSEIN BASHE atatoka Nzega? Najua akitandaza mkwanja anachukua jimbo kirahisi huyu dogo! He is a good guy!
Hukumbuki kuwa kwenye mkutano mkuu wa UVCCM 2008 R.A alikuja Dom na milioni 400! kwa ajili ya Bashe kuwa Makamu Mwenyekiti, Hujui kuwa Habari Cooperation ni ya R.A Kuna jamaa zangu hapo Igunga wanaoujua huu mchongo live.
 
CHADEMA WAMEPEWA JIMBO LA KWANZA TABORA.

hakuna wakuizuia CHADEMA kuchukua IGUNGA this tym
 
kwa mgombea gani? ambaye unajihakikishia kuwa atapita mbele ya gamba la kisasa? mnaweza kujitahidi kupeleka hamasa za kisiasa lakini siyo ushindi. Mgombea atakayeshinda ni anayekubalika kwa Rostam, kwani he/she will be sponsored by him. Nikumbushe mgombea wa cdm uchaguzi uliopita jimbo la igunga?
 
Patachimbika hapo!! ngojeni tusubiri mambo yanavyoenda! Natabiri upinzani kuibuka kidedea pamoja na Bashe kupewa nafasi kubwa lakini bado siyo kuwa atachukua hivi hivi.
 
Back
Top Bottom