Wewe hodari umefanya nini cha maana?zaidi ya kula,kunya,na kulala,familia yako mwenyewe ikipiga kura ya kumchagua kiongozi wa familia yule mtoto wako wa miaka tisa anashinda kwa kura nyingi, koroboi wewe.
Mbona morani waliompiga hawajakamatwa! Kwani hawajulikani? Laigwenan Mkuu Lowassa anapoendelea na kampeni zake za ukuu nchini adhihirishie umma kuhusu utashi wake kwa utawala wa sheria kwa kusaidia kukamatwa hao morani wahalifu.
bila kujali itikadi za vyama, huu si wakati wa kumuita Nasari Mzembe hata kama alikuwa hivyo, ni wakati wa kumuombea apone na aendelee na kazi aliyotumwa kuwafanyia wananchi. Tumia busara zaid next time. Fikiri kable ya kuandika; je kama ingekuwa ni wewe, ungependa maneno hayo yatamkwe juu yako?
Sasa yeye si kamanda, mpambanaji ulitegemea anapambana na upepo? Ni sawa sawa tu kwa wapambanaji wakati mwingine kuumizwa anatakiwa tu kuinuka na kuendelea kupambana sio kulialia.
Sasa yeye si kamanda, mpambanaji ulitegemea anapambana na upepo? Ni sawa sawa tu kwa wapambanaji wakati mwingine kuumizwa anatakiwa tu kuinuka na kuendelea kupambana sio kulialia.
usishangilie binadamu mwenzako kuumizwa mkuu , hata uwe na nguvu vipi huwa kuna siku za kuanguka kwenye maisha. by the way ,ni wapi nasari amelialia?,au unahitimisha furaha yako tu.
Huyu sio mpabanaji wala kamanda, huyu ni waziri mkuu aliyeguswa na vitendo vya ukatili dhidi ya raia wake. Ningecheka ( kama ninavyomcheka Nassari) kama angekuwa ni Said mwema analia.