Hali ya Kamanda Nassari

shiteterande

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
15
Reaction score
3
khali ya kamanda Nasari nasikia si nzuri, nimepata taarifa amepelekwa ICU je ni kweli, wenye taarifa kamili watujuze jamani!!!!!!
 
Kamanda gani mzembe hivi
Wewe hodari umefanya nini cha maana?zaidi ya kula,kunya,na kulala,familia yako mwenyewe ikipiga kura ya kumchagua kiongozi wa familia yule mtoto wako wa miaka tisa anashinda kwa kura nyingi, koroboi wewe.
 
lukuvi anaeza sema nassary alijipiga ili chama kipate umaarufu......hawa ndio viongoz wetu
 
Maombi yetu kwa Mungu amponye haraka, tunamhitaji ktk nchi yetu sana, tunalaani hivyo vitendo viovu na vya kikatili vinavyofanywa na watu wasio na nidhamu. Siasa imegeuka eneo na vurugu, majeruhi, ulemavu na mauaji pasipo kujali ubinadamu!! MUNGU INUSURU TANZANIA NA VIONGOZI VIJANA PAMOJA NA WANANCHI WAPENDA MABADILIKO.
 
namaanisha, wakiona hali ya Nassari si nzuri wampeleke KCMC au njee ya hapa, uku tukimtegemea mungu juu ya uponyaji!!
 
Nassari amepigwa na nani? au alikuwepo kwenye mlipuko?

Mbona sielewi?
 
Tutaku update Lema amekwenda kumuona alirudi tutawapa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…