Dodoma PagumuNilikutana na demu mmoja kipindi cha nyuma!tena bus terminal pale arusha nilimuona tuu nikamfeel na ule uarabu wake wa kuchovya!!
Niliongea nae nikaona kaniamini tuu!!
Labda kwa jinsi y uonekano wangu.
Nikachukua namba yake wakati namshusha olasiti huko kwa shangazi yake!!
Nilizoeana nae sana ikawa namfata pale kwa shangazi yake namtoa out kwa gia ya kumuonyesha mji..
Nikawa najilia sana yule mtoto!!
Akarudi huko dodoma...
Akanipa mwaliko nikaenda.
Ptuuuuu...
Yaani ule mji ulinikinai hatari kwa ile hali ya hewa!
Msela kila siku naaga niondoke ila mtoto analalamika niendelee kubaki baki..
Alichoniuzi ni kwamba alinishawishi sana kwamba hapo dodoma baadae serikali itahamishiwa hapo hvyo kuna viwanja ninunue!
Kweli nilinunua kiwanja bei rahisi sana!
Akawa anashughulikia yeye hicho kiwanja mambo ya kukatia hati na mengineyo!!
Mwisho nilimuachia kile kiwanja kiwe chake!
Yule demu angekubali kuja kuishi nilipo ningemuoa!!
Lakini hakutaka kuondoka dodoma kbs nikapiga chini
Haaππ€£πππ πππAfu mda wote wamekunja ndita sababu ya vumbi
Mafuta maarufu Dodoma huwa ni raizi na baby care .Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayi utazani nina-uviko.. Msaada tafadhali
Gonga Like Kwa Hii Comment Fupi Halafu Chachu Kama Ukwaju Yaani Mate!!ππMi binafsi nimeshindwa kuishi... Hakuna mafuta unatumia ukawa na ngozi nzuri, mademu wao wamekomaa ngozi kichizi.
Mwafaa ππHiyo hali ya kupauka ngozi kunasababishwa na low humidity, hewa haina unyevu kama ilivyo kwa Dar. Inabidi watumie cream au lotion zinazoweka unyevu kwenye ngozi (moisturizing lotion/cream), na kutokana na hali ya baridi kuoga maji ya moto kwa muda mrefu (hot shower) hupelekea ngozi kupoteza maji, kwa hiyo kama unaoga maji ya moto jitahidi usijimwagie zaidi ya dk 5.....
Wote Wanaishi Huko Ngozi Kavu π£ππ[emoji3][emoji3] dah kumbe tupo wengi asee
Atumie MaweseMkuu au unatumia kimbo [emoji28][emoji38][emoji28]aisee Dom ni htr baridi linapausha bora nyanda za juu!
Pagumu Sana SanaDoooh sasa mbona nim nmeomba kaz huo mji,una nitisha ndugu
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi..mnatumia sabuni na mafuta gan..maana mm ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayi utazani nina-uviko.. Msaada tafadhali
Atumie Mawese
Daaah smhPagumu Sana Sana
Oyaaa mbona unanitishaNilikutana na demu mmoja kipindi cha nyuma!tena bus terminal pale arusha nilimuona tuu nikamfeel na ule uarabu wake wa kuchovya!!
Niliongea nae nikaona kaniamini tuu!!
Labda kwa jinsi y uonekano wangu.
Nikachukua namba yake wakati namshusha olasiti huko kwa shangazi yake!!
Nilizoeana nae sana ikawa namfata pale kwa shangazi yake namtoa out kwa gia ya kumuonyesha mji..
Nikawa najilia sana yule mtoto!!
Akarudi huko dodoma...
Akanipa mwaliko nikaenda.
Ptuuuuu...
Yaani ule mji ulinikinai hatari kwa ile hali ya hewa!
Msela kila siku naaga niondoke ila mtoto analalamika niendelee kubaki baki..
Alichoniuzi ni kwamba alinishawishi sana kwamba hapo dodoma baadae serikali itahamishiwa hapo hvyo kuna viwanja ninunue!
Kweli nilinunua kiwanja bei rahisi sana!
Akawa anashughulikia yeye hicho kiwanja mambo ya kukatia hati na mengineyo!!
Mwisho nilimuachia kile kiwanja kiwe chake!
Yule demu angekubali kuja kuishi nilipo ningemuoa!!
Lakini hakutaka kuondoka dodoma kbs nikapiga chini
Basi kΓ ma mmeamua singida tutatekeleza..Bora waipeleke Singida kuliko hapo Dom
Upepo Mwingi Vumbi Jepesi Tongotongo TeleDaaah smh
Hahahaaaaa daaa mkuu hii avatar yako nimecheka snMi binafsi nimeshindwa kuishi... Hakuna mafuta unatumia ukawa na ngozi nzuri, mademu wao wamekomaa ngozi kichizi.