mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Tumejua kuwa umepanda ndege.
Kulikuwa na mvua na radi kali sana hasa mikoa ya kanda ya ziwa hasa Musoma naona hapa kwenye kituo cha hali ya hewa Duniani kwani huko hawakuwataarifu.
Leo Jumamosi usipandage ndege siku hii !! (kwani hujui Sat. !!)
Mi nimekata tiket juzi na nimerudi dar leo
Pole kwa safari
Jaman leo hali ya hewa ilikua mbaya. acheni!nimesafiri mza-dar na fast jet ndo tumetua jaman tumeshake balaa kama nusu saa hivi jamani yani watu wote ungewaona acha..lakin namshukuru Mungu tumetua salama ila cha moto tumekipata leo.sitasahau.