Hali ya hewa inaruhusu!!

rubii

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
14,113
Reaction score
18,745
Hizi mvua zinazoendelea kunyesha zimenifanya nijione mpweke sanaa......

Lady Jay Dee Ft: Mr. Blue - Wangu {Official HD Vi…:
 
Na mimi huku ni mpweke mkuu, karibu😛😛
 
Hizi mvua zinazoendelea kunyesha zimenifanya nijione mpweke sanaa......

Lady Jay Dee Ft: Mr. Blue - Wangu {Official HD Vi…:
E man Farida..niwakumbushe chorus kidogo,unanchengua zingua zingua ahhh wewe farida wewee,nyumbani nakuhitaji iiiih
Umenichoma sindano ya mapenzi ohhhh oohh,wewe farida jama,Nahis baridii iiih.
 
hz mvua zimenifanya niogope hata kusafiri... maana huyu mke wangu na mvua hz si watam'binua binua sana.!!!!
 
Ha ha ha a Kitu kizuri kula na nduguzo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…