Hili halina ubishi uwezo wa viongozi wake umefika kikomo hasa Mwenyekiti ila Slaa hata sisi ambao sio CDM tunakubali uwezo wake. Ni lazima Zitto na Mbowe waachie nafasi walizo nazo ili kunusuri meli inayotaka kuzama.(jivueni gamba)Seems CDM imekuwa kwa kasi sana kuliko uwezo wa viongozi wake kuimanage na ndio maana wanahaha na migongano isiyo na tija inaongezeka kila kukicha. Na ndiyo matatizo ya mafanikio yajayo bila kutarajiwa.
Mabadiliko kwa binadamu yoyote ni jamabo la msingi ni hutokea naturally kwa hiyo uwepo wa CDM ama kutokuwepo hakuna athari yoyote.Kumbuka hii CDM imeshikwa Dr Slaa ,asipokuwepo cdm ni kama itakuwa imekufa kifo cha mendeHao waliolipwa, wawe Clouds au wengine, ndio watazikwa na wananchi. Kumbuka walipogeuza gazeti la RAI kuwa la kutetea ufisadi. Mauzo yameshuka kama gazeti la UHURU! Pia, Chadema inaweza kufa leo au kesho lakini roho (spirit) ya mabadiliko ndani ya mioyo ya wa TZ haiwezi kufa.
Tatizo la hiki chama ni Zitto Na Mbowe umsipowaondo hiki chama hakitakuwepo 2015Na kitakachofanya CDM kufa mapema kuliko ilivyotarajiwa ni kujisikia na pia kutokujipambanua kisera na kimkakati.Tatizo kubwa la hiki chama kimekumbatia matajiri wakubwa na kuwadharau wazalendo na watu wasioegemea siasa za ubinafsi kama kina Zitto.
Kama sikosei Bwana Lema aliwahi kuwaambia wanafunzi wa chuo kimoja wawe wanafungua JF ili waweze kujua ni jinsi gani dunia inavyokwenda. Nasikitika ya kwamba kabla ya huu ujumbe wa Bw.Lema ni watu wachache sana na waliokuwa upande mmoja wa habari ndio waliokuwa wanacheki JF. Kuanzia sasa sisi ambao tulikuwa upande wa pili wa habari nasi tutaanza kuweka nondo zetu rasmi kwenye hili jamvi na ndio utakuwa mwisho wa kutumia hili jamvi kama propoganda tool ya CDM.Wana JF
Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na Redio one vimegeuza mwelekeo na sasa vinapenyeza kiaina habari mbaya zote zinaelekezwa kwa CHADEMA ili kuifanya CDM isikubalike na wananchi.
Upo mkakati unafanyika ili kuwavunja nguvu wabunge wa CHADEMA wakose kujiamini bungeni unaofanywa na Spika wa bunge na baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo Radio one na ITV ili ionekene kuwa wabunge wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge mfano Spika Makinda ameripotiwa kuwa Bunge la bajeti la mwaka huu itabidi lianze kwa wabunge kufundishwa kanuni kwani eti wabunge wengi hasa wa upinzani ni wapya hawajui kanuni wanaropoka hovyo bungeni hii si kweli hata kidogo wote tunafuatilia bunge na tuna macho ni ujinga kutufanya hatujui nani hafuati kanuni. Mtaona pia yale yaliozungumzwa wiki iliyopita na Katibu wa Bunge ilikuwa moja ya mbinu za mkakati huo unaoratibiwa kistadi isivyorahisi kugundulika na mwanachi wa kawaida.
Mkakakati mwingine ni kuwatumia wabunge mamluki waliondani ya CHADEMA kuanzisha vurugu kwa kutafuta hoja za kuvuruga chama.
Nilitoa angalizo mapema kuwa CCM sasa watatumia sana wale waandishi mahiri ambao wanaaminiwa na wananchi kuivuruga CHADEMA.
CHADEMA isimame imara kwani ikikubali kuvurugwa kama vyama vingine vilivyosambaratishwa na CCM itakuwa ndio mwisho wa imani ya wananchi wa nchi hii kwa vyama vya upinzani. Kumbukeni CHADEMA kilivyosaidia watu wengi kuamka na kujua haki zao na kimefanya CCM kujikuta kiko uchi na wizi wa mali za uuma umepungia. CHONDECHONDE kuweni makini. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU ILINDE CHADEMA.
Seems CDM imekuwa kwa kasi sana kuliko uwezo wa viongozi wake kuimanage na ndio maana wanahaha na migongano isiyo na tija inaongezeka kila kukicha. Na ndiyo matatizo ya mafanikio yajayo bila kutarajiwa.
Huu upuuzi mtupu! Cdm haiwezi kuvurugwa na wapumbavu wa CCM kwani wao hawani upeo wowote kwa sasa, nani mwenye uwezo hou? Kwani wajinga wale wa cloudsfm ndio wameshika akili za watanzania? Atakayevurugwa ni mpuuzi yeye binafsi sio sie wenye uelewa. hata hii mada pia haina mantiki zaidi ya uoga usio na maana. Mimi ni mpigania haki wa kweli tena siyumbishwi eti kisa spika kasema hili au coulds wamezusha lile, ninajua ninachotaka full stop. "You can cheat some poeple some time...but you cant cheat all the people all the time' CCm inakufa haiwezi kuacha kutapatapa
Tatizo la CDM ni lao wasizingizie CCM kwani pale kuna umwinyi;kuna wanaojionna wao ndo wenyewe na mvurugaji wa CDM ni MBW kwani anafanya udikteta na zito anaimamia haki htaki kuburuzwa.MBW anajenga MTANDAO wakati anajua mtandao umeshaua CCM utaiua CDM pia