Hali ya hatari jijini dar....!!!!

Kama ni hawa, na waje zanzibar, napiga makofi wote
 
Haya yamechangiwa na mfumo mbovu wa elimu, mmomonyoko wa maadili ikiwa ni pamoja na wazazi kutotimiza wajibu wao katika malezi. Siku hizi nyumba nyingi zina wazazi/walezi 3, baba, mama na TV, watoto wanaangalia chochote kwenye tv wazazi wako busy na kutafuta pesa, kuna faida gani uwe na pesa nyingi lakini watoto wako wakaishia kula bange, madawa ya kulevya na wizi. Mabanda ya video nayo yanahusi hasa kwa Uswahilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…