Hali ya bum kwa baadhi ya wanafunzi

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,305
2,000
katika chuo cha kilimo au SUA
mpaka sasa kuna baadhi ya wanafunzi hawajapata bum kwa sababu zisizojulikana mfano kuna jamaa kaona jina kwenye allocation lakini wakati wa kusaini jina alikuonekana. kafuatilia . loan officer kasema asubiri tatizo limepelekwa loan board kushughulikiwa jamani hii inawezekanaje na nimshauri afuatilie vipi maana mpaka sasa ajalipa ada imekaaje hii!.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,720
2,000
CHUO x ni Jina Gani dogo. Acha kuficha mambo this is jf tuambie ni chuo Gani hiko acha uwoga WA kitoto
 
Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
407
500
katika chuo x mpaka sasa kuna baadhi ya wanafunzi hawajapata bum kwa sababu zisizojulikana mfano kuna jamaa kaona jina kwenye allocation lakini wakati wa kusaini jina alikuonekana. kafuatilia . loan officer kasema asubiri tatizo limepelekwa loan board kushughulikiwa jamani hii inawezekanaje na nimshauri afuatilie vipi maana mpaka sasa ajalipa ada imekaaje hii!.
Tangu unasoma hesabu ulishawahi kuipata hiyo X??? Ndo maana akanyimwa mkopo maake hata loan board wlimtafuta X hawajampata tumia akili hasa Chuo X ndo nini kwa wasomi kama ninyi ndo mnasababisha ndalichsko awe na hasira afute chuo kizima hasa hicho chako X
 
wakuu ni sua
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,720
2,000
Poleni Sue Sasa uongozi wenu umefuatilia unawapa majibu Gani? Bongo tunaaminishwa mambo ni mazuri kumbe Hovyo
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,305
2,000
Poleni Sue Sasa uongozi wenu umefuatilia unawapa majibu Gani? Bongo tunaaminishwa mambo ni mazuri kumbe Hovyo
watu wanaumia kila mara wanafuatilia wanarudishwa na majibu yasiyoridhisha .
Mtu anatoka umbali kama 6km kwenda main campus kufuatilia na nauli kwenda na kurudi ni 2000 bado bumu halijatoka hii hatari
 
baby s

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
436
500
Daah mdogo angu mpaka leo anaishi kwa mizinga tu toka kaenda chuo na yuko mwaka wa tatu
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,243
2,000
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom