Ndug wanajf barabara ya kibondo kasulu hivi tunavyoongea magari kibao yamekwama kutokana na mvua zinazoendelea.jionee

Hivi watu wa Kigoma tutapata barabara nzuri za lami zenye lane nane lini? Au mpaka mwisho wa dahari!
funga king'amuzi,Tujionee nini?????????