Unajitahid kujitoa ufahamu ila ukweli unaujua mwenyeweBendi zilikufa miaka mingi kabla hata ya utawala huu. Kwa mfano akudo impact imekufa japo jina lipo mapacha watatu imekufa chokoraa karudi twanga japo jina lipo FM akademia iliathirika zaidi baada ya mmiliki wake martin kasyanju kufariki japo bado ipo. Msondo ngoma miaka zaidi ya mitano inafanya show ya bia pale brake point ya mjini kule posta kiujumla muziki wa dansi umekufa au umeanza kufa miaka mingi nyuma lkn club bado zinafanya vizuri japo show za bingo fleva zimepungua kidogo kutokana na spirit ya kubana matumizi ya magufuli kuingia mpk kwenye mashirika binafsi. Spirit hii ndiyo itakayoleta maendeleo kwa serikali hadi mtu mmoja mmoja nchi zilizoendelea spirit ya kubana matumizi ipo karne nyingi tukumbuke ukienda kwa mzungu hukaribishwi msosi kama hukutoa taarifa n.k hii ina maanisha wazungu wako makini na matumizi lkn sio masikini. Watanzania sasa tuishi kwa budget na kufanya kazi zaidi tutaendelea na tutamkumbuka magufuli.
nasubiria 22/ july leaders club...castle lite unlocks...15000 yangu tu namwona diamond,vee money,navykenzo,casper nyovest,future etc......
We hatari kabisaHuu upepo sio. Hata ukiniletea kadi ya mchango wa harusi, ukiondoka natupa!
Mapapaa siku hizi wapepotea nao.
kumbe unachotaka ww ni heshima?? Haya shikamoonatamani mambo yazidi kudoda kabisa, ghalama ya msosi ipae maradufu, mvua msimu ujao ianze mwezi januari ili tuheshimiane 2020
Ku deep ndiyo Ninivimada wangu zamani nilikua nawajali sana lakini siku hizi hata wakini deep, sipigi. huu upepo sio. ha ha ha ha ha
Acha tuisome namba mkuu ndio kwanza anataka kubana tunalialia siwalisema tumeipenda wenyewenasubiria 22/ july leaders club...castle lite unlocks...15000 yangu tu namwona diamond,vee money,navykenzo,casper nyovest,future etc......
Ni ku beep.Ku deep ndiyo Nini