Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Wamejaribu kuficha kwa muda mrefu ila moto hauwezi fichika kamwe. Ulianza ukimya wa mnyika, ukafuata ukimya wa Halima mdee sasa tunaona kauli ya Nasari na Rwakatare ni kama zinapingana na msimamo wa chama. Mapambano ya kumtafuta Ben saanane na kumtoa Lema ni kama yametelekezwa. Alekuwa mgombea anazunguka mitaani kutoa matumaini kuwa 2020 atashinda, nachojiuliza ameshapitishwa na chama kuwa mgombea?
Kigumu zaidi kueleweka ni kuona aliyekitelekeza chama kwenye uchaguzi mkuu kaanza kukisemea chama .
Anyway ngoja tusubiri TIME WILL TELL
Kigumu zaidi kueleweka ni kuona aliyekitelekeza chama kwenye uchaguzi mkuu kaanza kukisemea chama .
Anyway ngoja tusubiri TIME WILL TELL