Hali si shwari, sasa ni dhahiri kuwa nyumba ya jirani kuna moto unawaka

Wamejaribu kuficha kwa muda mrefu ila moto hauwezi fichika kamwe. Ulianza ukimya wa mnyika, ukafuata ukimya wa Halima mdee sasa tunaona kauli ya Nasari na Rwakatare ni kama zinapingana na msimamo wa chama. Mapambano ya kumtafuta Ben saanane na kumtoa Lema ni kama yametelekezwa. Alekuwa mgombea anazunguka mitaani kutoa matumaini kuwa 2020 atashinda, nachojiuliza ameshapitishwa na chama kuwa mgombea?

Kigumu zaidi kueleweka ni kuona aliyekitelekeza chama kwenye uchaguzi mkuu kaanza kukisemea chama .

Anyway ngoja tusubiri TIME WILL TELL
Huyo hapitishwi. Anajipitisha. Mkikataa anasepa na kijiji!
 
Maxence why una tolerate TROLLS humu?

why usianzishe special threads za CCM na Nyingize CHADEMA za kutumbukiza hizi threads na posts zao?

We have far better national issues to discuss
Ukweli mchungu BALAA...na bado maana hili LINASHANGAZA SANA KUONA UKIMYA WA HAWA WABUNGE WA CHADEMA...wakijitokeza tu WANAMUUNGA MKONO MZEE WETU MAGUFULI.......
 
Mwanaume kuja na uzi wa kimbea huwa aibu sana, kwa tamaduni zetu za afrika. Labda kama upo dume jike hapo sawa.

Ndukiiiii
Ukweli mchungu BALAA...na bado maana hili LINASHANGAZA SANA KUONA UKIMYA WA HAWA WABUNGE WA CHADEMA...wakijitokeza tu WANAMUUNGA MKONO MZEE WETU MAGUFULI.......
 
Mkuu unapokuja na bandiko lako hebu weka wazi Nasar ameongea nn na Lwakatare amesema nin sio ww unaandika kifupisho tu as if kila mmoja amesikiliza au kusoma au kuona walichozungumzia.
 
Mbon mnapoteza muda wenu kumjibu huyu jamaa, kiongoz wao kasoma miaka zaid ya 20 hadi kafika pi- hechi-di lakin hajui ingilishi,sasa chukulia hadi wao wa nyuma yake wakoje
 
Yani wewe ndio bogus Kabisa, in multiparty politics politics parties huwa zinanyuti kuangalia udhaifu wa mwenzake,.
I bet here Chadema watakosa na kitu ambacho kitawakuta Chama tawala pants down. Don't ever underrate any political party especially official opposition party.
 
Wamejaribu kuficha kwa muda mrefu ila moto hauwezi fichika kamwe. Ulianza ukimya wa mnyika, ukafuata ukimya wa Halima mdee sasa tunaona kauli ya Nasari na Rwakatare ni kama zinapingana na msimamo wa chama. Mapambano ya kumtafuta Ben saanane na kumtoa Lema ni kama yametelekezwa. Alekuwa mgombea anazunguka mitaani kutoa matumaini kuwa 2020 atashinda, nachojiuliza ameshapitishwa na chama kuwa mgombea?

Kigumu zaidi kueleweka ni kuona aliyekitelekeza chama kwenye uchaguzi mkuu kaanza kukisemea chama .

Anyway ngoja tusubiri TIME WILL TELL
Unataka Mnyika, Nasari, Mdee na wengine wakazungumzie wapi ilhali siasa zimezuiwa hadi 2020, lakini pia inadhihirisha uko low maana ulishindwa hata kubaini dongo la Nasari kwa watawala mbele ya waziri mkuu!
 
Watanzania bwana watu wa ajabu sana hawapendi kusikia ukweli

Ukweli upi unaoutaka zaidi ya huu wa Tanzania kuwa moja ya taifa masikini kabisa duniani na watawala kuwageuza wananchi wake chuma ulete na wengine misukule kama wewe...
 
Tunahitaji mturudishie chanel zetu za bure kama mlivyohaidi la sivyo mturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Huu ni wizi mkubwa na ni aibu kwa taifa kuwanyonya wananchi wake kiasi hiki na ni laana kubwa.
 
Humu kuna watu wana viwiliwili tu hawana vichwa hivi kweli m/kiti wako anawaambia wahanga kuwa hapeleki msaada wa chakula kwakuwa kuna kijani hukuona pa kuedit ila umeona Cdm ndo pakuedit! Shwaini! Au ubongo umeliwa na Cosmopolites soldidus
 
Huu uzi mbona kama unachangiwa na bavicha tu
 
Rwakatare kakanusha hilo tangazo, na nasari kama akili yako ndogo ndiyo unaweza ukasema anamsifia maghufuli lakini lile dongo ni la gambo kuwa ni wendawazimu kupinga maendeleo kisa kimeletwa na mwanasiasa ambaye ni mpinzani
Wewe Majanga kweli ulifikiri amelitolea gizani, kalitoa mchena na kamera zinammulika.
 
Rwakatare kakanusha hilo tangazo, na nasari kama akili yako ndogo ndiyo unaweza ukasema anamsifia maghufuli lakini lile dongo ni la gambo kuwa ni wendawazimu kupinga maendeleo kisa kimeletwa na mwanasiasa ambaye ni mpinzani
Hii ya Lwakare kumsifia rais pamoja na mkuu wa mkoa nimeona ITV wameirusha leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku. Tena akaenda mbali kwa kumuunga mkono Rais kwamba ni kweli serikali haiwezi fanya mambo yote akimaanisha kuwajengea nyumba wananchi.
 
Wamejaribu kuficha kwa muda mrefu ila moto hauwezi fichika kamwe. Ulianza ukimya wa mnyika, ukafuata ukimya wa Halima mdee sasa tunaona kauli ya Nasari na Rwakatare ni kama zinapingana na msimamo wa chama. Mapambano ya kumtafuta Ben saanane na kumtoa Lema ni kama yametelekezwa. Alekuwa mgombea anazunguka mitaani kutoa matumaini kuwa 2020 atashinda, nachojiuliza ameshapitishwa na chama kuwa mgombea?
Hizi ni dalili z a kufirisika kisera. Wenzako wametuli wanafanya yao wewe unahangaika.
 
Back
Top Bottom