Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Bunge likiwa hovyo, Rai akiwa hovyo, Waziri Mkuu akiwa hovyo, Upinzani ukiwa wa hovyo matokeo yake ni wananchi wanajichukulia hatua mikononi na kufanya maamuzi magumu. Huu ni Mwanzo tu, Hongera mama Hellen Kijo Bisimba kwa Kuwasha moto. Wewe ni shujaa wetu. Heshima mbele mama, umeanza leo, kesho tutamalizia kazi yako. Wasomi wa JF, usomi wenu hauna mana ikiwa hamuwezi kuchukua maamuzi magumu. Habari ndo hiyo
Mleta umeleta habari njema ila kutukana watu hapa wewe ni mpuuzi na kweli wewe ni Muke ya Mzungu endelea kuliwa .Wana JF unajuaje kama Kishimba si mwana JF unajuaje kama mie Lunyungu sikuwepo na wengine hapa ? Acheni za mayai hizo na matusi ya leja leja .
Lunyungu kamanda!!Mleta umeleta habari njema ila kutukana watu hapa wewe ni mpuuzi na kweli wewe ni Muke ya Mzungu endelea kuliwa .Wana JF unajuaje kama Kishimba si mwana JF unajuaje kama mie Lunyungu sikuwepo na wengine hapa ? Acheni za mayai hizo na matusi ya leja leja .
Kule kwetu kuna msemo mtu akikuambia ujue amekutukana mpaka kukuvua nguo,
" kuku ana akili kuliko serikali ya sasa"
(kuku giza likianza kuingia anaingia ndani lakini kwa serikali yetu niishie hapo.........)