Hali ni tete kwa makada kunadi wagombea CCM 2020

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,788
Reaction score
8,094
WATIA NIA.png
 
Uchaguzi mwaka huu utakua wa tofauti sana. Nawaza hao waliowapitisha wao na sio kura za wajumbe wa mwanzo wataangukia pua. Kwa sbb akili za watu ni kama zilishawapitisha pia hao walioshinda mwanzo sasa hii toka wewe nimuweke huyu sijui kama itakua na Impact nzuri.
 
Hii ni kama 2015. Akili yangu ilishajitune kumpa kura lowasa...walivyomkata tukamfata upinzani tukampa uko uko.
 
Yaani namuona Mzee mzima Masele akimnadi dogo Katambi!! aisee ni Siasa ni uvumilivu.
 
Bunge la 2020 2025 sio tuu litakua halina meno bali litakua halina kichwa!!!
Hivi unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akachaguliwa na rais chini ya NEC ataweza kujenga hoja kwa serikali ambayo italeta manufaa kwa umma????
Hivi una tegemea mrundikano wa watoto wa viongozi wastaafu
Mfano Januari Makamba,Ridhiwani kikwete.mtoto wa pinda,Mke wa kikwete,mtoto wa lowasa,mtoto wa bulembo.mtoto wa kawawa nk wataweza kweli kuibana serikali kisawasawa kama mbunge anavyopaswa!???? Never never itakua ni mwendo wa kusifu na kutukuza tuuuu!!!Poleni watanzania kiukweli tumepotea mno kuliko tunavyodhani
 
Wapiga kura ndio waamuzi. Wajumbe ni wachache sana kwenye Jimbo
Uchaguzi mwaka huu utakua wa tofauti sana. Nawaza hao waliowapitisha wao na sio kura za wajumbe wa mwanzo wataangukia pua. Kwa sbb akili za watu ni kama zilishawapitisha pia hao walioshinda mwanzo sasa hii toka wewe nimuweke huyu sijui kama itakua na Impact nzuri.
 
Umemsahau mtoto wa mzee Mwinyi ameteuliwa kuwania Ubunge huko Zenj
Bunge la 2020 2025 sio tuu litakua halina meno bali litakua halina kichwa!!!
Hivi unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akachaguliwa na rais chini ya NEC ataweza kujenga hoja kwa serikali ambayo italeta manufaa kwa umma????
Hivi una tegemea mrundikano wa watoto wa viongozi wastaafu
Mfano Januari Makamba,Ridhiwani kikwete.mtoto wa pinda,Mke wa kikwete,mtoto wa lowasa,mtoto wa bulembo.mtoto wa kawawa nk wataweza kweli kuibana serikali kisawasawa kama mbunge anavyopaswa!???? Never never itakua ni mwendo wa kusifu na kutukuza tuuuu!!!Poleni watanzania kiukweli tumepotea mno kuliko tunavyodhani
 
Uchaguzi mwaka huu utakua wa tofauti sana. Nawaza hao waliowapitisha wao na sio kura za wajumbe wa mwanzo wataangukia pua. Kwa sbb akili za watu ni kama zilishawapitisha pia hao walioshinda mwanzo sasa hii toka wewe nimuweke huyu sijui kama itakua na Impact nzuri.
Tatizo lipo pote mkuu.

Mfumo wa kuwapata wagombea mchujo wao wa awali tangia mwanzo ni wa hovyo.

Kwa ulichokieleza wewe kingelikuwa na mantiki kama kura za maoni zingelipigwa na wanachama wote ngazi za matawi pasingelikuwa na mwanya wa kutandaza rushwa kipumbafu pumbafu namna kama wengi wao walivyofanya.

Sasa hivi kuna mtifuano kati ya wajumbe na wanachama wengine wa kawaida, kutopitisha majina ya wagombea wanaopendwa na wengi kwa sababu ya mirungula.

Sasa, kilichopitishwa na kamati kuu chaweza kukubalika huku chini na wanachama wa kawaida, kwasababu uozo walioufanya watia nia waliofyekwa unafahamika na upo wazi kwa kila mtu.
 
Bunge la 2020 2025 sio tuu litakua halina meno bali litakua halina kichwa!!!
Hivi unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akachaguliwa na rais chini ya NEC ataweza kujenga hoja kwa serikali ambayo italeta manufaa kwa umma????
Hivi una tegemea mrundikano wa watoto wa viongozi wastaafu
Mfano Januari Makamba,Ridhiwani kikwete.mtoto wa pinda,Mke wa kikwete,mtoto wa lowasa,mtoto wa bulembo.mtoto wa kawawa nk wataweza kweli kuibana serikali kisawasawa kama mbunge anavyopaswa!???? Never never itakua ni mwendo wa kusifu na kutukuza tuuuu!!!Poleni watanzania kiukweli tumepotea mno kuliko tunavyodhani

Bado hujataja watoto wa Mwinyi na wake zao huko Zanzibar. Bunge la JMT litakuwa LIMEBAKWA.
 
Bunge la 2020 2025 sio tuu litakua halina meno bali litakua halina kichwa!!!
Hivi unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akachaguliwa na rais chini ya NEC ataweza kujenga hoja kwa serikali ambayo italeta manufaa kwa umma????
Hivi una tegemea mrundikano wa watoto wa viongozi wastaafu
Mfano Januari Makamba,Ridhiwani kikwete.mtoto wa pinda,Mke wa kikwete,mtoto wa lowasa,mtoto wa bulembo.mtoto wa kawawa nk wataweza kweli kuibana serikali kisawasawa kama mbunge anavyopaswa!???? Never never itakua ni mwendo wa kusifu na kutukuza tuuuu!!!Poleni watanzania kiukweli tumepotea mno kuliko tunavyodhani
KWELII KABISA HAKIKA UYASEMAYO NI KWELI
 
Uchaguzi mwaka huu utakua wa tofauti sana. Nawaza hao waliowapitisha wao na sio kura za wajumbe wa mwanzo wataangukia pua. Kwa sbb akili za watu ni kama zilishawapitisha pia hao walioshinda mwanzo sasa hii toka wewe nimuweke huyu sijui kama itakua na Impact nzuri.
Wajumbe ktk maeneo mengi majimboni walifanya biashara ya kura. Zilikuwa kura za maoni za ajabu na vichekesho sana. Ni kama wajumbe walipania ... "Ni hapa hapa hatufanyi kosa! Kura zilinunuliwa kwa bei tofauti tofauti (shilingi 2,000 hadi laki mbili na kuendelea). Kwa jumla kila Mtia Nia alivuna alichopanda. Aliyepanda haba, alivuna haba, and vice versa.
Ukiona mtu kaongoza,basi Ujue pesa iliyotoka Si mchezo ndugu. Yupo mmoja aliyepata nyingi kuliko wenzie inakisiwa alitumia zaidi ya nusu ya kiinua mgongo chake cha Bunge. Chezea nguvu za pesa wewe. Wazee walisema ... Pesa huvunja nguu na milima ikalala! Lakini maandiko yaliyovuviwa na Roho wa Mungu (Biblia Takatifu) yanasema ... Pesa ni jawabu la mambo yote!
Kwa taarifa yako, inasemekana pesa imetolewa kununua kura na hata ku-influence maamuzi kuanzia ngazi ya wilaya mpaka Taifa. Tutakuja kuyasikia tu kwani hakuna siri chini ya jua. Yatavumburuka tu siku moja.
Kwa jumla, maamuzi ya wajumbe kupitia kura za maoni za CCM pamoja na yale ya vikao ngazi za Wilaya hadi Taifa yamewaudhi wanachama wengi na wakereketwa wa Chama pia. Na mahali pengine hata wasio wanachama na wakereketwa wa CCM kwani usemi wa Mwalimu kuwa ... Kiongozi bora atatoka CCM ulikwisha waathiri Watanzania wengi. Wamechukia sana na wenzetu wa Upinzani wakiwaingiza wagombea makini; huu ndiyo Uchaguzi wa kuwa na idadi kubwa ya wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzani kuliko kipingi kingine kile cha huko nyuma.
Nguvu ya 'ziada' labda itumike. Ni ile ... "Wewe umemwaga mboga, mimi namwaga ugali!
Anyway, tuzingatie misingi yetu ya Amani, Umoja, na Utulivu kama Watanzania.
 
Bunge la 2020 2025 sio tuu litakua halina meno bali litakua halina kichwa!!!
Hivi unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akachaguliwa na rais chini ya NEC ataweza kujenga hoja kwa serikali ambayo italeta manufaa kwa umma????
Hivi una tegemea mrundikano wa watoto wa viongozi wastaafu
Mfano Januari Makamba,Ridhiwani kikwete.mtoto wa pinda,Mke wa kikwete,mtoto wa lowasa,mtoto wa bulembo.mtoto wa kawawa nk wataweza kweli kuibana serikali kisawasawa kama mbunge anavyopaswa!???? Never never itakua ni mwendo wa kusifu na kutukuza tuuuu!!!Poleni watanzania kiukweli tumepotea mno kuliko tunavyodhani
Tumia chochote kwa bill yangu
 
umesema vema,
ila mwishoni umekuw muoga.
hapana kbs na ni fedheha yaan muhimili wa bunge uwe na wabunge waliochaguliw na mhimili mwingine yaan serikali!!!??
wananchi wakiwapa kura ntalaan kuwa mtanzania kwa upumbavu huu.
 
Bunge la 2020 2025 sio tuu litakua halina meno bali litakua halina kichwa!!!
Hivi unategemea mbunge aliyeshindwa kura za maoni akachaguliwa na rais chini ya NEC ataweza kujenga hoja kwa serikali ambayo italeta manufaa kwa umma????
Hivi una tegemea mrundikano wa watoto wa viongozi wastaafu
Mfano Januari Makamba,Ridhiwani kikwete.mtoto wa pinda,Mke wa kikwete,mtoto wa lowasa,mtoto wa bulembo.mtoto wa kawawa nk wataweza kweli kuibana serikali kisawasawa kama mbunge anavyopaswa!???? Never never itakua ni mwendo wa kusifu na kutukuza tuuuu!!!Poleni watanzania kiukweli tumepotea mno kuliko tunavyodhani
Hakuna popote ulipokosea ama kuumauma maneno katika kuuanika ukweli. Big up.
 
Back
Top Bottom