Hali ni tete chuo cha madini Dodoma

Hali ni tete chuo cha madini Dodoma

yeddy guyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
627
Reaction score
500
Habari za mchana wanagenzi, habari nilizonazo mpaka sasa kutoka uongozi wa serikari ya wanafunzi chuo cha madini dodoma(M.R.I.S.O) ni kuwa mpaka sasa kumekuwa na sintofahamu ya field kwa wanafunzi wa kozi za geology na petroly geoscience mwaka wa kwanza (2016/2017),

Hapo awali ilitangazwa kuwa field ni tarehe 25 june lakn ilishindikana kutokana na ukata unaokikabili chuo hicho,na ukata huo umesababishwa na kupunguzwa kwa budget ya uendeshaji toka 150 milioni hadi 70 milioni kwa mwaka.

Chuo kimeshindwa kutoa fedha kwa supervisors kwa ajili ya kuwapeleka wanafunzi hao field.

Hivyo basi mimi kama mdau wa elimu na member wa M.R.I.S.O (studen academic board)
Nichukue nafasi hii kumuomba ndugu naibu waziri na jopo la wizara yake ya nishati na madini kutupatia fedha haraka iwezekanavyo ili tuweze kwenda field maeneo ya chimala mbeya.

Source: M.R.I.S.O Academic Board
 
Sasa rafiki angu kwa sasa wizara zote zipo hapo dodoma, unahitaji kuwa na sh.400 tu ya nauli kwenda mpaka ofis za wizara hiyo na utawaeleza yote haya

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Sasa rafiki angu kwa sasa wizara zote zipo hapo dodoma, unahitaji kuwa na sh.400 tu ya nauli kwenda mpaka ofis za wizara hiyo na utawaeleza yote haya

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
Wizara zote zipo hapa lakn utendaji mbovu kaka mpaka sasa hatujui hatma ya field yetu mkuu
 
Back
Top Bottom