Hali ni mbaya wajameni

Hali ni mbaya wajameni

Tanzania maneno mengi tu,matendo hakuna.
Kila siku Tanzania ina mikakati ya kuanza upya.
Wote wale wale tu,ni mafisadi.
 
Kwakweli mimi kwa hii serikali ningeomba matamko ya serikali yapungue ili nchi iweze kusonga mbele.... Hakuna nchi yeyote duniani inayiendeshwa na matamko isipo kiwa Tanzania pekee....hii ni hatari kwa maendeleo na mstakabadhi wa maisha ya watanzania kwa baadae
 
Huku vijijini mvua nazo zimegoma na mkulu alishasema hakutakuwa na Chakula cha msaada. Tutakuwa wakimbizi mwaka huu, kukimbia njaa kwenda nchi jirani.
 
Huku vijijini mvua nazo zimegoma na mkulu alishasema hakutakuwa na Chakula cha msaada. Tutakuwa wakimbizi mwaka huu, kukimbia njaa kwenda nchi jirani.
Mungu ni mkubwa atatunusuru lakini hali si hali.
 
Back
Top Bottom