Hali ni mbaya njia ya Chang'ombe viwandani - Mbozi Road ni mbaya sana Manispaa ya Temeke mko wapi?!

Kambaresharubu

JF-Expert Member
Jan 5, 2014
335
449
Katika moja ya sehemu muhimu ya kiuchumi kwenye manispaa ya Temeke ukiondoa Bandari ni eneo hili la viwanda la Chang'ombe - Mbozi Road, lkn kitu cha kusikitisha kuna kipande korofi junction ya Mbozi road/Manyara ambacho manispaa mwanzoni mwaka jana walifanya marekebisho ya drainage system lkn baada ya kuchimbua ile lami walishindilia vifusi tu...mwaka sasa unakatika toka wakamilishe zoezi, kibaya zaidi ule udongo umechimbika na kutengeneza mahandaki na kutokana na mvua hizi yale mahandaki yamegeuka kuwa madimbwi makubwa km ya kufugia samaki na kusababisha kero kubwa na uharibifu wa magari.
Nikikatiza tena baadae maeneo yale nitaambatanisha picha.
 
20170520_154705%280%29.jpg
20170520_154709.jpg
20170520_154700.jpg
20170520_154648.jpg
20170520_154705.jpg
 
barabara yenyewe ishaitwa mbozi.. hayo majina yana akisi sehemu husika
 
Nilipita hii bara bara na ki-baby worker changu, mbona kesho yake nilikwenda garage.. Shida sana... Then unakuta ma-lory mengi na hayana adam kwa mwenye tugari tudogo.. Yan
 
Aiseee! Ni Afadhali ninyi huko mna uchaguzi sababu mpo mjini. Mnaweza hama mtaa tu na kukutana na lami. Hebu mje mikoani mabonde kuinama huku muone watu wakisema hawana barabara wanamaanisha nini!
 
Hali bado ni mbaya barabara ya Mbozi viwandani na mpaka sasa hakuna juhudi zozote zilizofanywa kutatua changamoto hii....leo imepelekea mpaka lori la mizigo kupinduka kwa ubovu wa eneo hilo hilo linalolalamikiwa.
4cd3e233b934d51de33a0673e14ff936.jpg
fa14961cadf81ad21475b295e72bb6b0.jpg
 
Back
Top Bottom