Coma ni hali ya kupoteza ufahamu wa mazingira kwa mda mrefu , hali hii usababishwa na ugonjwa au majeraha makubwa .
Maisha wakati mtu yupo kwenye hiyo ni illusion tu ,humtokea huyo mtu endapo yupo kwenye angalau kiwango kidogo cha utambuzi , ubongo wa huyu mtu huendelea kufanya kazi na kujihisi yupo kwenye maisha fulani ya uhalisia.
Mengne ya kitabibu na ya kimauzauza ya adakadabra atajazia
DR Mambo Jambo