Tatizo la vijana wa bavicha mkiambiwa ukweli bado mnakuwa wagumu sana kuelewa, ondoeni ushabiki, angalieni hali ilivo kwa umakini mtagundua kama mwandishi yupo sahihi na taarifa yake. Kule serengeti Mosena kaja juu hali kadhalika jimbo la Vunjo napo hali sio nzuri, bado mnakuwa wabishi!
Uwezekano ni mdogo sana kwa chama hiki kupata majimbo hata waliyokuwa wakiongoza, CCM inaonekana imejipanga vizuri sana na mikakati yake ni mizito katika kuhakikisha kinashika dora na kuongoza viti vya ubunge.
Moja kati ya mikakati waliyoweka CCM ni kwenda kumuomba mama Maria Nyerere akamuombe Janeth (mke wa Magufuli) ili akubali kujiunga kwenye kampeni na mumewe....
duu h!! uanzisha thread, uliandika huu uzi ukiwa umeingiziwa mti dilidooo kwa nyuma au uliandikiwa? icje kuwa tunakulaumu bure pasipo kujua nn klchikusibu#
Inaonekana Upo Vizur Kukagua Profile Za Watu,hembu Niangalizie Na Yangu!!!Mbona Ukawa Kuna Id Mpya Zenu Nying Tu Humu Watu Hatupigi Kelele Af Zinasumbuasumbua Tu Kwa Propaganda Za Kishenzi Lakini Sisi Tumetulia Tu,nyie Badala Ya Kutoa Hoja Mnabaki Kuangalia Profile Za Watu Mmeishiwa?.....!
Magufuli ni mtendaji na mtu mwenye uwezo binafsi wa kujitolea. Watanzania hawapo tayari kuchagua mgombea mwenye makandokando mengi. Kila mikutano anakopita Magufuli ni zaidi ya SUNAMI.