Mnajua nini?
Mimi ninaside na hawa wafanyabiashara
In short Tanzania ni nchi ambayo ngumu sana kufanya biashara na sishangai sana kuhusu hizi charges na rushwa iliyokithiri
serikali inasema meli zinakaa siku 5 kule baharini...ukweli ni kuwa meli zinakaa mpaka siku 50 kule nje baharini kwenye foleni sasa hilo huhitaji kujua kuwa kuna incompetency sehemu na sishangai kuskia TRA na EWURA wana husika
Sasa huyu kaleta hoja na vielelezo na kasema kama kuna mtu anahitaji zaidi amtumie e-mail.
sisi tumezidi:
rushwa
urasimu
mazingira magumu kufanya biashara
Kodi zisizoeleweka kila kona badala ya kodi moja na ambayo inaeleza inafanya nini
local authorities kujaa staff ambao pia ni wala rushwa na wahuni
sasa tusitake kukaa hapa na na kutaka kuitakasa sana serikali na departments zake ili hali ukweli tunaujua lakini hatutaki kuuweka wazi. Naungana na wenye vituo hivi na nashauri its about time they come back and fight hizi slander wanaztumiwa kwa kuweka wazi jinsi wanavyonyonywa watu kama TRA,TBS,EWURA, LOCAL AUTHORITIES na kadhalika.
sitaki kuanzisha thread nyingine kwani siku hizi naona kabla hujaanzisha thread inabidi ipitie kwa GESTAPO wa JF kabla hajatundikwa so tutaendelea humu humu kuelezana
Lakini baada ya catalogs za uwongo toka serikalini mimi nikiambiwa nani nimwamini between serikali na wafanyabiashara hawa then nadhani mnajua nitakuwa upande upi
kinachosikitisha ni kauli za kitoto zinazotolewa wakati tunajua fika kwamba kuna conflict of interest between politician, government (e.g. BP na serikali wa shares sawa) na mafia network among businessmen who knew our weakness long ago
TITANIC IS SINKING!!!
nA HILI LA MAFUTA LITAIBUA MENGI SANA...
TUMEZIDI KUDANGANYWA
KAMA SERIKALI WANAJUA MIPANGO BASI NOTISI INGETOLEWA MUDA ILI KU-MANAGE FORECASTS ZA PRODUCT...
NAHISI WANAOFIKIRI KWA KUTUMIA MAKALIO NI WENGI KULIKO MASABURI ALIVYOAINISHA
Wafanyabiashara ya mafuta wanataka kurudisha pesa zao walizotoa kwa ajili ya kampeni (CCM) mwaka jana, Magamba wanataka kuonekana heros!! tunaumia sisi WATANGAGIZA!!
Mhindi hahitaji mafuta kwa kuwa anaishi Upanga just a walking distance. Nani alikutuma kuishi Tegete, Kibamba< Mabagal, Pugu, Kigambini n.k. Mkipata nyumba za NHC mnaziuza.Kwa kweli there is no better way to explain shida za mafuta, umeme, nk.
Upande wa wafanyabiashara, wana hoja na zina mantiki... hasa kuhusu ulaghai!!
Upande wa serikali... tunasikia kujadili, kutoa notice etc.
upande wetu, hali mbaya sana... wapo wanaojifungulia njiani, wanakosa elimu, wanaokosa vipato nk
kinachoniudhi ni jinsi wahindi na waarabu ambavyo hadi sasa hawajaathirika... this just confirm kwamba wana mitandao na serikali zao ndani ya hii nhci na hawaathiriki kwa namna yoyote na janga hili.... THEY HAVE ESTABLISHED THEIR OWN FUEL SUPPLY SYSTEMS
SAD!!
Je upo tayari kuwa wa kwanza kulambwa shaba ili neema ikija tukuingize katika ordha ya mashujaa?jamani kweli hali mbaya, jana j4 ndugu yangu amelazimika kusukuma gari yake datsun kutoka Makongo mpaka Mwenge kijiweni kwake na hiyo ni licha ya kununua mafuta lita 5 kwa tshs. 17,000 na mbaya zaidi hakuna ambalo serikali inalifanya. sasa ndio naona nguvu ya wafanyabiashara wanaoichangia ccm na viongozi wafanyabiashara. kunahitajika mapinduzi hata ikibidi watu walambwe shaba labda kutakuwa na mabadiliko.
Mhindi hahitaji mafuta kwa kuwa anaishi Upanga just a walking distance. Nani alikutuma kuishi Tegete, Kibamba< Mabagal, Pugu, Kigambini n.k. Mkipata nyumba za NHC mnaziuza.
Je upo tayari kuwa wa kwanza kulambwa shaba ili neema ikija tukuingize katika ordha ya mashujaa?
Kwa hiyo wewe btn wafanya biashara na serikali unaamini sana serikali eeh?
Tutoe suluhisho halafu tuchangie mawazo kutoka hilo suluhisho, na sio kuendelea kulalama ama kuorodhesha shida ambazo kila mwananchi tayari anazijua.
Mi naanza na suluhisho:
Kesho saa 12 kamili asubuhi tukutane ubungo mataa.
Mhindi hahitaji mafuta kwa kuwa anaishi Upanga just a walking distance. Nani alikutuma kuishi Tegete, Kibamba< Mabagal, Pugu, Kigambini n.k. Mkipata nyumba za NHC mnaziuza.