Hali Mbaya CCM, Umemsikia Pinda? CCM wafundwa jinsi ya Kuongea Bungeni. Ukweli.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali Mbaya CCM, Umemsikia Pinda? CCM wafundwa jinsi ya Kuongea Bungeni. Ukweli....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 24, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusome hii article tutaona jinsi gani CCM walivyo...Pinda anawakochi wabunge na mawaziri jinsi gani ya kutetea ugaidi Tanzania. Ukweli ndani ya CCM ulishaota majani zamani sana....tutaona kama wananchi nao watakaa kimya...

  Pinda urges close cooperation among CCM legislators Send to a friend
  Saturday, 22 January 2011 22:33
  By Polycarp Machira
  The Citizen on Sunday Reporter
  Dar es Salaam. Prime Minister Mizengo Pinda yesterday called on Chama Cha Mapinduzi (CCM) members of parliament to bury their differences and work as a team.

  He said doing so would make them cope with challenges the party was likely to face in the tenth parliament. He warned the ruling party legislatures that the current parliament was more tasking than the previous one; hence the need for close cooperation among them. Mr Pinda was speaking when he officiated the opening of a three-day sensitization seminar for CCM legislators in Dar es Salaam.
  “ It is important to note that the type of parliament we have now calls for close cooperation among ourselves so as to be able to withstand strong waves from the opposition. It is high time we burry our differences within the party,” he advised them.Observers say that this could be a warning sign in the wave of persistent wrangles among party members concerning serious issues of national interest. CCM has been embroiled in another crisis, with a sharp split emerging over a government plan to pay nearly Sh94 billion in compensation to the controversial private emergency power generating company, Dowans. The observers say the bickering within CCM was a serious threat to its government. They argue that a serious power struggle was underway in the party that has ruled the country for over 50 years. The Prime Minister also urged ministers to be more active in the next parliament, telling them: “You should always be present in parliament sessions to answer questions. We are tired of the trend where questions are raised on the flour but there is no minister to answer.” He said the ministers should always respond to arising matters on time and save the public from unnecessary speculation. To be able to cope with the present political turbulence in parliament, he urged MPs to read a lot and carry out thorough research on specific issues before presenting them to the house. Mr Pinda said an MP is judged by the public basing on how he/she presents or defends motions in parliament. But he was quick to note that eloquence and seriousness in parliament ought to be reflected in constituencies as well. The premier, who doubles as the chairman of CCM Members of Parliament Committees, also urged the MPs to utilize the on-the-spot question session for the Prime Minister during parliament sessions. He said opposition MPs outperformed their CCM counterparts in the last parliament.
  The three-day seminar was organized by the national assembly to familiarize new legislatures on party policies. Other political parties, according to the prime minister, will also hold similar seminars. Mr Pinda emphasised that the occasion would not be used to evaluate party performance in the last general election, but to familiarize new MPs with both house and party regulations.
  


  "Ukweli ndio unadumu siku zote ata Pinda akijaribu kupinda kona kama picha zake kila siku kwenye magazeti haitasaidia"
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kupiga kufuli midomo ya wabunge ni kosa kubwa kidemokrasia. Nitawashangaa wabunge wa sisiem wakitekeleza maagizo hayo.
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  hcho kitendo kama kipo na watatekeleza , wala tusiwe na wasi. kwani gharama ya ke wataiona kipindi cha uchaguzi. na mi naomba watekereze ujinga huo kisha majuto yaje baada ya mjukuu. hawakujifunza bunge lililopita? wapinzani walikua wachache lkn waliweza kutamba na wao wakabaki watetezi wa chama chao tu. sasa ngoja watekeleze hilo kisha uone litakalo wapata. wezi wakubwa hawa, hawana huruma hata kudogo na mwananchi wa kawaida.
   
 4. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kama unaweza kuzuia moshi kwa mikono, basi tutayaona, mwisho wa ubaya ni aibu
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huyu anayejiita mtoto wa mkulimanae huwa simuelewi anaamka au analala!
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Blue above: aidha mwandishi au Pinda kwisha changanyikiwa kama maswali yanawekwa kwenye 'flour' badala ya 'floor'. Pinda ni bomu kuliko mabomu wote niliowahi kuwasikia. Kama libaba lenye sura ngumu kiasi hicho linalia hadharani baada ya kusigina rule of law na kutishiwa kuondolewa uwaziri mkuu kwa kura ya kutokuwa na imani na wabunge unategemea nini?

  Halafu kuji-show up kwenye matrekta wakati mvua hakuna ndio mafanikio kweli ya kilimo?
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM KULENI TUSHENI HAPO UBUNGO JINSI YA KUONGEA BUNGENI LAKINI MTIHANI WA SISI WAPIGA KURA KWAKO NI JE (1) UMEAMUA KUWA MTETEZI WA 'MASLAHI YA CHAMA' AU (2) MTETEZI WA 'MASLAHI YA UMMA / TAIFA KWANZA'??

  Waache wabunge wa CCM wakale TUSHENI YA KUZUNGUMZA BUNGENI PALE UBUNGO lakini mwamuzi wa mwisho wa kutoa mtihani na kuusahihisha kule bungeni Dodoma ni sisi wapiga kura.

  Mtihani tutakaoutoa bungeni ni rahisi mno na bora tuwape Paper ya Mtihani hapa hapa mapema ili atakayefeli huko abaki akijilaumu mwenyewe tu.

  Sisi Mtihani wetu hautoangalie ni nani anajua kupindisha sana maneno bungeni, wala yule anayejua vifungu vyote vya kanuni za mabunge yote duniani, kwetu sisi mtinani ni kuangalia mbunge mmoja mmoja kwamba anachangia huko bungeni (1) KWA MASLAHI YA CHAMA CHAKE au (2) KWA MASLAHI YA TAIFA.

  Watakaobainika kutetea maslahi ya chama badala ya maslahi ya taifa wote wajiandao kung'olewa bungeni wakati wowote ule na 'Nguvu ya Umma' nchini. Hapo hakuna mjadala.

  Nyingi ni wabunge wetu, hata hivyo vyama vya siasa ni vyetu, iweje mali yetu ipate heshima na kutetewa sana kuliko sisi wenyewe wenye mali???
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yale yaleeeeeeee ya utawala wa MKAPA! Kupiga mkwara wabunge ili wasitetee maslahi ya wabunge. CCM watajimaliza wenyewe, wananchi sasa wauwezo wa kujua nani msaliti na nani mzalendo.
   
 9. Elly B

  Elly B JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 1,194
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa waliowahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi watanielewa pale ntakaposema kuwa kuna aina ya wanawake na wanaume ambao kuna wakati wanatumia nguvu kubwa kuficha makucha yao.Ila tatizo huwa ni muda tu! Baada ya muda huja kujisahau au muda wa kuumbuka hufika tu.This is more natural. Ukichanganya maji na sukari unapata solution,ukichanganya maji na mafuta hupati chochote! maji yatabaki maji na mafuta yatabaki hivyohivyo. Mimi huwa namchukulia Waziri mkuu huyu kama mtu asiye na msimamo maalum,ingawa under the carpet ni kama wenzake wote. Can you see anafundisha nini? Kwa anyejiita mtoto wa mkulima alitakiwa ajue anamtetea mpaka baba yake kule kijijini ili bei ya chumvi isimwathiri kwa kiwango cha kushindwa kupata mbolea. Huyu mkulima gani sasa? Ni aibu kwamba mpaka sasa kuna mtu anataka kufunga wengine midomo tena hadharani.Utashangaa tu pale na mijitu mingine pamoja na kujua imechaguliwa na wananchi kuwatetea bado itafanya huo Ujinga. But SHOLDN'T THIS BE A LESSON KWA WALE AMBAO WALIAMBIWA WASICHAGUE "MWENZETU" WACHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA? Kama tunaona wote na tunasikia japo kidogo tu is my hope kuwa Next time hawatafanya makosa TENA!:disapointed:
   
 10. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna cha mtoto wa mkulima kwa sasa! Sasa ana kazi ya kufanya cover-up ya wanene, yeye akiwa kama kiranja mkuu! So the guy is moulding a rally to his government from ccm MPs, but on the other hand their freedom is still missing!
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Baadhi ya Wabunge wa CCM hawajui kujenga na kutetea hoja kwa hiyo lazima wakochiwe ili waweze kulinda maslahi ya chama na sio taifa CCM siku zote wanaweka chama mbele utaifa nyuma ndio maana kwa kuona wingi wa wapinzani bungeni wameanza kuogopa na imebidi wapelekwe tusheni ya kuongea
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Yaani tena huyu ndio anatumika vibaya sana sasa hivi more than any other time hawezi kuongea chochote mafisadi wamemuweka kwenye 18
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Waache wale tuisheni lakini wakae wakijua kuwa wakifika Bungeni ni moto kwenda mbele
   
 14. Mtembea_peku

  Mtembea_peku Senior Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha....
   
 15. m

  mshaurimkuu Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi nimeguswa sana na suala hili; yaani "wanafundishana cha kuongea" Bungeni? Its very simple, ongea ulichotumwa na wapiga kura wako, tetea maslahi ya taifa, na simamia misingi ya HAKI na UADILIFU - hii ndio kanuni ya msingi ambayo haihitaji hata kuwa na elimu ya darasa la pili. Nje ya hapa, hata kama ungejua kanuni, taratibu, sheria, na tamaduni za mabunge yote duniani tangu enzi za Nebukadreza yule mkuu hata leo - NI UBATILI MTUPU.

  Halafu nina wazo, hasa kwa vyama vya upinzani na NGO makini zinazojishughulisha na masuala ya kijamii/kitaifa - hizi taarifa za bungeni bila kumbukumbu zitapotea na kusahaulika. Nashauri ianzishwe website ya UMMA na chochote atakachochangia mmbunge kiingizwe kwenye kumbukumbu for wider public access - mambo ya, sijui, hanzard, wanajua wao. Tunataka at the end of the day, anybody awe na access na hiyo website na aweze kupata taarifa ya kila mmbunge - alichangia nini, kwa maslahi ya nini, na pia wawe rated na umma.

  Ni ushauri tu, hata kama ni wa kijinga naomba kusikilizwa.
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Pilipili msioila inawawashia nini?
   
 17. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hivi hii tuisheni ya Wabunge wa CCM peke yao inagharimiwa na Ofisi ya Bunge au na Ofisi ya Makamba?
   
 18. m

  mshaurimkuu Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu, uamuzi au matokeo yoyote ya kijinga (kama ambavyo tayari taarifa zinaonesha - eti kutetea maslahi ya chama badala ya taifa) ya kusanyiko hili la "aibu" la hawa jamaa yana athari za moja kwa moja na maisha yako na sio suala la "Pilipili msioila inawawashia nini?".
   
 19. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Kwamba ccm kwanza then watanzania na national interst nyuma huu ni upuuzi wa hali ya juu Mr. Pinda. Umeanza kupinda vibaya.Taachieni Tanzania yetu jamani. Tumechoka:kev: Enzi za chama kushika utamu zimekwisha:nono:
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Soma hapa chini....

   
Loading...