africansongs
Member
- Jan 5, 2018
- 83
- 225
Chakula za ma MPs na wafanyakaz wa umma hizo... Malaya wote nao wamehamia dodoma sikuizi...Habarini wadau.
Huku dodoma ni hatari.
Yaani siku hizi ukitoka out, wanaume wanavaa suruali za kubana na wengine kuvaa mlegezo kama wanaume wa kinondoni. Ukiulizia vipi hizi tabia, unaambia chaklua hao.
Sasa wakilewa wanakata mauno balaa, wengine mpaka wanalia waondoke na mtu.
Huku dodoma kwakweli hali si shwari.
Yaani ni hatari. Hawajifichi ni open open.Maisha yanabadilika na mambo yake ndivyo ilivyo dodoma kwasasa