Hali imebana sana wanasayansi, njooni na dawa ya kuzuia kula kwa miaka 5, unakuwa unapiga Maji tu

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,464
1. Mimi. 5000

2. Wife. 5000

3. Nyumbani 5000
Kwa mwezi 1. 450,000
Kwa mwaka1. 54000,000
Kwa miaka 5. 270,000,000

Bado maouting ambayo nayo yanatafunaga hela ile mbaya.

Magufuli kabana sana wana sayansi ingieni kazini
 
Back
Top Bottom