We ndo unazijua tu hizo haki za wapiga kura?Hata kwa kukwapua haki za wapiga kura
We ndo unazijua tu hizo haki za wapiga kura?Hata kwa kukwapua haki za wapiga kura
We ndo hujaelewaNafikiri hujaelewa...
We ndo hujaelewaNafikiri hujaelewa...
Na saccos vipi kukoje?Msanii Kipanya anajitahidi kutueleza hali halisi ya kisiasa ilivyo ndani ya CCM mara baada ya upinzani kudhibitiwa.
Sasa ni mtifuano tu ndani ya wanaCCMView attachment 1244668
Kumbe sikujua?Labda saccos ni ya ukoo wenu wa panya maana wote ni majizi.
Nyanoko!Utajuaje wakati ndiyo kwanza umetoka koromitdje kwa magari ya mbio za mwenge?
Sasa kuzijua kwako hizo haki kumemsaidiaje huyo mpiga kura??Ndiyo nazijua