Umeishia darasa la ngapi?Wishful thinking. Kipanya anatamani yatokee hayo ila, hata huyo anayekuja kuongoza atakuwa ametokea humo humo ccm
Domo la aliepigwa kwa mbaaali kama la kigogo 2014 wa kule twita.Msanii Kipanya anajitahidi kutueleza hali halisi ya kisiasa ilivyo ndani ya ccm mara baada ya upinzani kudhibitiwa.
Sasa ni mtifuano tu ndani ya wana ccmView attachment 1244668
Kumbe tiyari ushajua kuwa kuna chaguzi za chama zinaendelea. Tunaandaa uhalali wa utawala kuwa we rule from the grass roots. Kitu cha kujua ni kuwa; Onceelected thru the chama votes yu are the winner.Umeishia darasa la ngapi?
Kinachoendelea Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya CCM unakijua??
Hata kwa kukwapua haki za wapiga kuraKumbe tiyari ushajua kuwa kuna chaguzi za chama zinaendelea. Tunaandaa uhalali wa utawala kuwa we rule from the grass roots. Kitu cha kujua ni kuwa; Onceelected thru the chama votes yu are the winner.
Hawaijui ccm taasisi kubwa nchiniWishful thinking. Kipanya anatamani yatokee hayo ila, hata huyo anayekuja kuongoza atakuwa ametokea humo humo ccm
Nafikiri hujaelewa...Wishful thinking. Kipanya anatamani yatokee hayo ila, hata huyo anayekuja kuongoza atakuwa ametokea humo humo ccm
Wishful thinking. Kipanya anatamani yatokee hayo ila, hata huyo anayekuja kuongoza atakuwa ametokea humo humo ccm
Kinachofurahisha kivuli kimewachakaza vibaya.CCM wanapigana na kivuli chao kwa sasa baada ya upinzani kusalim amri!
Nadhani tafsiri yako sio sahihi sana. Kwa uzoefu wangu wa siasa, mara nyingi CCM hupendelea hali hii ya mnyukano wa ndani kwa ndani. Faida yake ni moja, CCM ndiyo inayosemwa na ndiyo inayosikika masikiano mwa watu (kwenye siasa ni kosa kupotea masikioni na midomoni mwa watu), na mbadala wake huonekanana yumo humo humo ndani ya CCM. Hii ni hatari kwa afya ya vyama vya upinzani. Jambo, la kujifunza wapinzani, kama vita ilivyokua 2015, na hatimaye upinzani kutokea ndani ya CCM, ndio hali hii inajitokeza tena. Itakua kosa kama upinzani ukipokea mtu kutokea CCM. Itakua sawa na ya 2015.