stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 18,905 Reaction score 14,669 Dec 10, 2025 #1 View: https://youtu.be/-ZUtT726xT0
Z ZAK ZAK JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 635 Reaction score 562 Dec 10, 2025 #2 Walipanga Maandamano tarehe ya hovyo sana. Kuwakomesha hawa washeni ni kuweka sikukuu za kidini. Kama Chistmars. Mwaka mpya. Pasaka. Idi nk. Wameipa selikali ushindi wa Bure ka
Walipanga Maandamano tarehe ya hovyo sana. Kuwakomesha hawa washeni ni kuweka sikukuu za kidini. Kama Chistmars. Mwaka mpya. Pasaka. Idi nk. Wameipa selikali ushindi wa Bure ka
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,492 Reaction score 42,564 Dec 10, 2025 #3 Hapo Lord Denning Tindo Proved watanuna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
V Volodimiri Zelensiki JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,454 Reaction score 4,515 Dec 10, 2025 #4 Kwakweli nimeghafilika sana sioni kama kuna maisha bora bila kuandamana na kumuondoa Samia.