Hali hii inanitisha sana nahitaji ushauri!

Anaweza akawa anajiita abel kumbe ni ke.Haujui jf tunatumia fake id?

Mbona rahisi sana? jifanye kama unamtumia hela kwenye hiyo namba aliyoweka kwa MPesa. vodacom watakusaidia....
 
pole na kazi na mfungo wa ramadhan wana jf,mim ni kijana ambae tem iliyopita niliutupia uzi mkali wa kusaka mchumba,ila nimejikuta kujilaumu kwa hlo kwani mchumba niliempata ananipa wakati mgumu coz nina mawasiliano nae kwa muda miez miwili tunachati tuu na hataki nimpigie cm nisikie saut yake ila anataka tuchati tuu,nikimuuliza kwanin hvyo,ananijibu ipo siku ntasikia saut yake na syo leo,na kanitumia pesa kibao tena bila kuombwa,anadai ananijali ila naogopa kwanin hatak nisikie saut yake!nimemuomba mara nying nimsikie najibiwa siku bdo haijafika ya kumsikia,kusema kwel maji yamefika shingon ,nimechoka kabisa wapendwa nimefikia mahal pa kufikilia kuchange namba,kwan anatuma pesa nyingi si mchezo na hatak nimsikie,na anachat kwa kiingeleza vizur sana kulko kiswahli,nisaidien kwa kuni pm au kunitumia sms kupitia 0763175935

Au ndio wewe mwenyewe unataka mwingine tena wa kumpindua mgongo? Hamrizikagi nyie!
 
Kijana kama wewe unapenda kutukana watu humu basi huo mtego utaliwa kiboga
 
Second thoughts wewe unataka kushika watu humu..Sio mbaya vilaza utawapata
 
itakuwa wewe ni mwanaume na unaewasiliana nae ni mwanaume pia,wewe endelea kuchukua hizo ela huku ukijiandaa na show ya nguvu

Vijana wa siku hizi wanashida sana

hivi anashindwa nini kutafuta namba nyingine na kumpigia ili kumsikia? Abel james
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli ndugu yangu mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa wa kwanza kutaka lau kusikia sauti, kusema kwamba haijafika siku ya kuskia sauti yake inatia mashaka sana. Haujafanya hata jitihada za kumtafuta kupitia hayo mawasiliano mnayotumia, mbona ni rahisi sana, au mnachat jf tu? Mimi naona kuna mambo kadhaa hapa, huenda kweli ni mwanamke na ana jinsi zake za kudeal na mahusiano, au ni mwanamke anaishi na mtu hivyo anaogopa usijepiga simu siku jamaa yupo ikawa tabu, siamini sana kama ni mwanamume anataka kukulawiti, kama ni mwanamume basi ni shoga anataka umpumulie kisogoni, hiyo ilishwahi kumtokea jamaa yangu yupo humuhumu, ilibidi amtishie maisha yule mbaba ndiyo akaacha kumfuatafuata!all in all, usiache kuwasiliana naye lakini mweleze wazi wasiwasi wako,pia mambo ya kutumiwa pesa na mwanamke hayapendezi kijana, tena mwanamke hamjuani na haujamwomba!!!! mwambie uko vizuri hauna mahitaji ya pesa, pesa si zawadi, anunue kitu akuletee! kumbuka siku ya kukutana naye siyo mnaelewana kukutana guest!!!!!...kukutana ni sehem ya wazi kama mgahawani mpaka kila mtu awe confortable na mwenzake.
kila la heri kijana, usiwe mwoga sana.
 
Vijana wa siku hizi wanashida sana

hivi anashindwa nini kutafuta namba nyingine na kumpigia ili kumsikia? Abel james

umeona eeeh,yani mtu movie kashindwa kuielewa hata picha nazo hazioni?mtu anakwambia tusipigiane simu tuwe tunatumiana sms tu,na wewe bado unaendeleza mahusiano,hujiulize je kama ni mke wa mtu,au jini?sijui ni hii michele inayotoka nje inapumbaza watu bongo zao???
 
pole na kazi na mfungo wa ramadhan wana jf,mim ni kijana ambae tem iliyopita niliutupia uzi mkali wa kusaka mchumba,ila nimejikuta kujilaumu kwa hlo kwani mchumba niliempata ananipa wakati mgumu coz nina mawasiliano nae kwa muda miez miwili tunachati tuu na hataki nimpigie cm nisikie saut yake ila anataka tuchati tuu,nikimuuliza kwanin hvyo,ananijibu ipo siku ntasikia saut yake na syo leo,na kanitumia pesa kibao tena bila kuombwa,anadai ananijali ila naogopa kwanin hatak nisikie saut yake!nimemuomba mara nying nimsikie najibiwa siku bdo haijafika ya kumsikia,kusema kwel maji yamefika shingon ,nimechoka kabisa wapendwa nimefikia mahal pa kufikilia kuchange namba,kwan anatuma pesa nyingi si mchezo na hatak nimsikie,na anachat kwa kiingeleza vizur sana kulko kiswahli,nisaidien kwa kuni pm au kunitumia sms kupitia 0763175935

pole sana mkuu. ila hapo pa kutuma hela nyingi.............. yawezekana ni alishabaab
 
Back
Top Bottom