Hali halisi ya uchumi wetu kwa sasa, mikopo kwa sekta binafsi yapungua

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Ameandika Zitto Kabwe,

Mikopo ya ndani iliyotolewa na mabenki imepungua kwa asilimia 3.5 mwaka 2017 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 2.5 mwaka 2016, hii ikichangiwa na kupungua kwa mikopo kwa serikali kuu kutoka kwenye mabenki (Ripoti ya Benki Kuu robo ya 4 ya mwaka)

Sekta mbili zinazoongoza kwa ukuaji (Ujenzi na Usafirishaji) kwenye robo ya mwisho ya mwaka, zilikuwa na ukuaji hasi wa mikopo inayochukuliwa benki

Mikopo inayotolewa kwa sekta ya kilimo pia ilishuka kwa asilimia 5. Hii inaonyesha kuwa na uchumi usioeleweka kwa mwaka 2016 lakini ukichanganya zaidi mwaka 2017

Sekta mbili zinazochangia zaidi fedha za kigeni ndio ilikuwa imeathiriwa zaidi kwa kukosa mikopo. Katika robo ya mwisho ya mwaka mikopo katika sekta ya utalii iliporomoka kwa asilimia 33.5! Sekta ya pili kwa kuingiza fedha za kigeni, uchimbaji wa madini ilishuka kwa asilimia 14.8, na sekta muhimu ya usafirishaji mikopo ilishuka kwa asilimia 18.6

Kwa report kamili ya BOT ya robo ya nne ya mwaka inayosihia December 2017 utaisoma kupitia hii linki hapa chini:

https://t.co/mDL58xoiK0?amp=1

===============

Domestic credit by the banking system contracted by 3.5 percent in 2017 compared to a growth of 2.5 percent in 2016 following shrinkage in net credit to the central government from the banking system. ( BoT report Q4)

Two sectors with highest growth rates ( Construction and Transport) in Q4, had the negative growth in credit from banks. Another negative credit growth was agriculture ( -5% ). This tells a a confusing economy Tanzania has experienced in 2016 but even more in 2017, see next

The sector generating largest share of foreign currency in the economy was hit most by lack of credits. In Q4 credit growth into tourism sector was -33.5%! Second largest forex earner mining -14.8% and the most strategic sector Transport -18.6%.
IMG_20180403_070143.jpg

Kwa report kamili ya BOT ya robo ya nne ya mwaka inayosihia December 2017 utaisoma kupitia hii linki hapa chini:

https://t.co/mDL58xoiK0?amp=1
 
Huu uchumi unapimwa ni vigezo vingi sana sana hapa naona anaoengelea mambo ya mikopo tu yaani Contractionary in credit, Mbona hawaangalii mambo mengine

Nampongeza zito lakini zito hajawahi fanya kazi kama sisi wengine yeye kasoma darasani tu, Hii vyuo vya bongo inabidi walimu wawe kama South korea masomo yanafundishwa na wataalamu ambao wana ujuzi kuna walimu wanafundisha Marketing huko South korea wamefanya kazi Google huko mpaka wengine makampuni makubwa yaliwafia mkononi

Hii elimu ya Zito aliyofundishwa na Prof usoro au karamagi siikubali kabisa

Nimewahi soma muda fulani Tanzania hasa Masters walimu walidanganya sana Mimi nilisimama na kuwaambia mnafundisha mambo ambayo yamefutwa

Huwezi pima uchumi kwa kipimo kimoja cha Credit never ever
 
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kuliko taifa lolote duniani.

Thanks to Magufuli.
 
Uzuri namba hazidanganyi mkuu.
Hata wanapopima mfumuko wa bei kwa kigezo cha kuchukua Sample za vyakula wengi huwa tunapingana na hizi theory zao ni za zamani sana

Uchumi wa Kikwete ulipimwa kwa ujenzi wa barabara yaani heavily government spending on Infrastructure, Leo Uchumi wa magufuli unapimwa kwa less spending sio kweli

Elimu elimu elimu ya Tanzania ni mbovu sana

Zito amesoma theory tu darasani, Hupimi uchumi kwa kigezo cha loans au credit kupungua tu
 
Huu uchumi unapimwa ni vigezo vingi sana sana hapa naona anaoengelea mambo ya mikopo tu yaani Contractionary in credit, Mbona hawaangalii mambo mengine

Nampongeza zito lakini zito hajawahi fanya kazi kama sisi wengine yeye kasoma darasani tu, Hii vyuo vya bongo inabidi walimu wawe kama South korea masomo yanafundishwa na wataalamu ambao wana ujuzi kuna walimu wanafundisha Marketing huko South korea wamefanya kazi Google huko mpaka wengine makampuni makubwa yaliwafia mkononi

Hii elimu ya Zito aliyofundishwa na Prof usoro au karamagi siikubali kabisa

Nimewahi soma muda fulani Tanzania hasa Masters walimu walidanganya sana Mimi nilisimama na kuwaambia mnafundisha mambo ambayo yamefutwa

Huwezi pima uchumi kwa kipimo kimoja cha Credit never ever

Mkuu hiyo report ya BOT umeisoma???

Maana ungeisoma hakika hili bandiko lako lingeonesha. Wewe unamshambulia Zitto.....kama una shida na hizo data, challenge data za BOT kama kweli unajua unachokiandika? mara South Korea, Mara Osoro, mara Karamagi...yote hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzito wa kuchambua mambo.
 
Zito aliwahi kuja na vipimo vyake vya njaa kisa Shinyanga wakati mikoa mingine walioverproduce, mwisho wa siku njaa amekaa nayo mfukoni

Nakujibu kwa ufupi kama ulidanganywa na vyuo vya Tanzania ni hivi :

Moja kipindi cha Magufuli serikali haipo interested na kukopa toka kwenye mabenki ya ndani hivyo mabenki yamebaki hayawezi mkopesha serikali

Serikali sasa ikitaka kukopa ina taka long term Treasury bond ya zaidi ya mwaka, na wakitaka kukopa ndani wapo radhi kuzilipa mabenki 7percent toka 16 percent ya kikwete

Mbili, Serikalini imeshaondokana na dhana ya taasisi zake kujaza pesa kwenye Bank mfano Bank M walitegemea sana serikali leo wanayumba poor liquidity

Kuna mambo mengi huwezi elewa kama haupo kwenye system au ulisoma theory darasani
 
Hata wanapopima mfumuko wa bei kwa kigezo cha kuchukua Sample za vyakula wengi huwa tunapingana na hizi theory zao ni za zamani sana

Uchumi wa Kikwete ulipimwa kwa ujenzi wa barabara yaani heavily government spending on Infrastructure, Leo Uchumi wa magufuli unapimwa kwa less spending sio kweli

Elimu elimu elimu ya Tanzania ni mbovu sana

Zito amesoma theory tu darasani, Hupimi uchumi kwa kigezo cha loans au credit kupungua tu
Sasa wewe pamoja na hiyo elimu yako tukuka, unampinga Zitto au unawapinga BOT? Maana Zitto amenakili tu takwimu za BOT....weka na hizo takwimu zako basi tukuone wewe mwenye maarifa kushinda watu wote duniani
 
Laiti tlaki...mptuuuuh
Watu wengi humu ni Vilaza hamuelewi hata Uchumi unamaanisha nini wao wanafikiri eti uchumi umeporomoka kisa kuna viduka na makampuni yanafungwa

Ndio maana kuna Business life cycle, Lazima ujue Biashara yote hatua kwa hatua ni Risk, Risk has no Religion kama biashara yako inakufa kisa kodi lazima uanze upya kujitafakari njia unazotumia kumanage Risk kwenye biashara zako

The economic growth au Development zimekuwa zikipimwa interms of numbers lakini kuna exceptional nyingi sana

Report ya BOT huandikwa na wanatoa sababu someni sababu sio kukimbilia interpretation tu
 
Sasa wewe pamoja na hiyo elimu yako tukuka, unampinga Zitto au unawapinga BOT? Maana Zitto amenakili tu takwimu za BOT....weka na hizo takwimu zako basi tukuone wewe mwenye maarifa kushinda watu wote duniani

Mkuu na mimi hii ndo hoja yangu. jamaa anamshambulia Zitto (by the way Zitto PhD yake-not sure kama amemaliza-anaisomea Germany). The point is kama yeye ni msomi na ana experience, basi atwambie ni kwa nini hizi data za BOT hazistahili kuaminiwa!
 
Zito anaelimishwa analeta Siasa kwnye mambo ambayo uelewa wake ni mdogo

Kwenye Uchumi zito ana uelewa mdogo hata walimu wake waliomfundisha wana IQ ndogo sana pale udsm

Mara nyingi anasoma vipengele vinavyomfurahisha

Uchumi unaangaliwa kwa sehemu kuu mbili at Micro level yaani households /individuals/Firm level, Pili at Macro level hapa na takataka za zito zimejaa ndani anazoongea

Je Uchumi wetu unaendeshwa na kitu gani?
 
Tueleze wewe sasa, uchumi wetu una hali gani?, tupe na reference
 
Mkuu na mimi hii ndo hoja yangu. jamaa anamshambulia Zitto (by the way Zitto PhD yake-not sure kama amemaliza-anaisomea Germany). The point is kama yeye ni msomi na ana experience, basi atwambie ni kwa nini hizi data za BOT hazistahili kuaminiwa!
Hata ukasoma kila siku na ukajaza vitabu kama hujawahi fanya kazi husika huwezi kuelewa kitu

Zito kidogo kwenye mafuta alikuwa na Idea nzuri sana lakini kwenye uchumi ana mihemko ya kisiasa tu
 
Mkuu, argument yako ni nini katika hizi posts zako maana nimejaribu kufuatilia nijue hoja yako sijaipata. Hebu weka hoja yako tukusaidie.
 
Back
Top Bottom