steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,182
- 1,596
Lazma tuambiane ukweli ipo hiviiii
Enzi za miaka ya 90s kipindi watu wanakuja kutafuta kazi afrika kusini walikuwa wanatoboa kirahisi kazi zilikuwa kibao kwakuwa natives walikuwa wanapewa na serikali kilakitu bure Hali iliyopelekea wakawa hawafanyi kazi so mgeni ukija kazi unanchukua tu watu walifanikiwa miaka Ile hata ukija mtu anakupokea anakupeleka sehemu inafany Kaz unapata pesa
Ilikuwa rahisi mtu kukupokea kwakuwa maisha hayakuwa magumu pia ajira zilikuwepo miaka ilipozidi kwenda baada ya thabo mbeki kuondok madarakan uchumi ulibadirika serikali ilishindwa Tena kutoa kilakitu bure Kama mwanzo Hali iliyopelekea wazawa kulazimika kufanya kazi kujikimu hapo shida ikaanza ajira zikawa na ushindani ikawa vigumu kupata ajira
Asikudanganye mtu saivi hata wazulu nao wanapambana kupata ajira kwahiyo ajira zimekuwa chache
Kutokana na Hali ngumu ya maisha hata huruma myoyoni mwa watu imepungua saivi vigumu mtu kukupokea kwakuwa Hana uwezo pia Hana pakukupeleka kma zamani
Pointi yangu no hivii njooo kilamtu anariziki yake ila jipange kisaikolojia kuwa huenda ukaja na usifanikiwe but tatizo vijana wengi wa dar utakuta Hana ujuzi kwao kaharibu ndyo anakimbilia SA wengi wanaishia kuwa wezi na waporaji Kama unaamua kuja jitahidi uwe angalau na ujuzi ili upate PA kuanzia vinginevyo itakuwia ugumu kazi za unskilled no chache ila haikufanyi ushindwe kujaribu bahati yako ushauri wangu jipangee

,swala la usalama ni 0 muda wowote unatangulizwa haera!,kuna sehemu nilikutana na home boys wakataka kuniibia walivyokuwa wananiangalia nikajua kabisa wajinga wanataka kunizingua nikatokomea kijeshi!,ila kile kiwanja kama una roho nyepesi unarudi siku hiyo hiyo!,South África kiwanja dume kweli kweli inabidi uikane nafsi yako!