Hali halisi ya CHAMA TAWALA

Chama chetu kina bonge la kitambi
ni kama vile kimevimbiwa na rushwa pamoja na matatizo mengine.

Nilikuwa nawaza kuwa kingetokea chuo chochote kikampa KP nishani ya PhD lakini sasa naona anastahili kuwa Prof kabisa
 
Kwa katuni hii Naogopa yasije yakamkuta KP kama yaliolikuta gazeti la MWANA HALISI
 
omujubi, soon KP atapata tu nishani. Tanzania hatuwathamini watu wetu.
ni kama vile kimevimbiwa na rushwa pamoja na matatizo mengine.

Nilikuwa nawaza kuwa kingetokea chuo chochote kikampa KP nishani ya PhD lakini sasa naona anastahili kuwa Prof kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…