ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Ndugu zangu nasikia bado vulugu zinaendelea tena huko mbeya.tafathali mwenye talifa zaidi atujuze
jamani huku sasa ni vita wakati najiandaa kwenda ofisini mana nipo kikazi huku ttcl kutoka hotelini mabomu yanapigwa sio mchezo watu wamejifungia kazi imeanza upya huu mgogoro utaweka historia ktk hii nchi naona magari ya matangazo yanapita kutangazia watu kwamba mapambano yasitishwe watu wakae mezani hali ni mbaya hivi hapa nafanya maarifa nitafte gari linalokuja dar nirud hata kazi cwez fanya vzur
mbona unambagua mwenzako,taarifa ni taarifa tu hata kama amejiunga juzi,mbona we pia ni mgeniKwanza tunashukuru kwa taarifa, na karibu sana JF.
Naomba wenyeji watu update kama kawaida.
Je vidaladala vinapiga routes? Vipi mwamko wa watu kwa maana ya idadi waliojitokeza kwenye mapambano?
nani kakupa taarifa hiyo?
nipo eneo la uhindini Mbeya na mpaka sasa milipuko ya mabomu inasikikaNdugu zangu nasikia bado vurugu zinaendelea tena huko mbeya.tafathali mwenye talifa zaidi atujuze
si tulisika polisi wameishiwa mabomu?
mbona unambagua mwenzako,taarifa ni taarifa tu hata kama amejiunga juzi,mbona we pia ni mgeni