Half-brother of Kim Jong-un 'killed' in Malaysia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
The half-brother of North Korean leader Kim Jong-un has been killed in Malaysia, the Yonhap News Agency and other South Korean media outlets reported on Tuesday, citing unidentified sources.

Yonhap, citing a South Korean government source, said Kim Jong-nam was killed on Monday morning in Malaysia. It gave no more details.

TV Chosun, a cable television network, said separately that Kim was poisoned at Kuala Lumpur airport by two women believed to be North Korean operatives, who were at large, citing multiple South Korean government sources.

The reports could not be independently verified.

Malaysian police told the Reuters news agency an unidentified North Korean man died en route to hospital from a Kuala Lumpur airport.

The police said the man's identity had not been verified.

Kim Jong-nam and Kim Jong-un are both sons of former leader Kim Jong-il, who died in late 2011, but they had different mothers.

In 2001, Kim Jong-nam was caught at an airport in Japan travelling on a fake passport, saying he had wanted to visit Tokyo Disneyland. He was known to travel to Hong Kong, Macau and mainland China.

He said several times over the years that he had no interest in leading his country.

"Personally, I am against third-generation succession," he told Japan's Asahi TV in 2010, before his younger brother had succeeded their father.

"I hope my younger brother will do his best for the sake of North Koreans' prosperous lives."

Source: Al Jazeera
 
Hapa ngumu kumeza alikiwa hana interest na uongozi sasa nani kamuuwa??

Au kuna watu walitaka kumtumia ili ampindue kim jung un yule dogo kashtuka akaamua apotezwe dunia si salama hakika
 
wanadai alikuwa hapendi mtindo wa uongozi wa kurisishana....pia kuwa ba marafiki wajapan na wamarekani ilikuwa kosa maana huenda alikuwa anatoa Siri.
 
Hapa ngumu kumeza alikiwa hana interest na uongozi sasa nani kamuuwa??

Au kuna watu walitaka kumtumia ili ampindue kim jung un yule dogo kashtuka akaamua apotezwe dunia si salama hakika
Inasemekana kauawa kwa kuchomwa sindano ya sumu na wanawake wawili inaosadikiwa wametumwa na kaka yake.
 
Amekutwa akiwa tayari amekufa ktk airport ya Malaysia ,muda mfupi baada ya kuchomwa na sindano ya sumu na wanawake wasiojulikana ambao wanahisiwa kuwa ni majasusi kutoka North Korea.
6175e6ba3d9ef8befb2ec3ef5b918c22.jpg

Alikuwa Kwa miaka mingi haelewani na Mdogo wake rais Kim na kuna kipindi alijaribu kusafiri Kwa hati feki ya Taifa la Dominica ila akashtukiwa
500d6aefebfbaabb6c133f9fb4386ba5.jpg
.
Na kipindi cha nyuma aliwahi kunusurika kuuawa na watu asiowajua, yeye na Rais Kim wameshea Baba ila mama ni tofauti.
2bdcc5436ba424db8da6c87e56e00359.jpg
.
Alikuwa ni mkosoaji mkubwa Sana wa utawala wa mdogo wake.
 
Amekutwa akiwa tayari amekufa ktk airport ya Malaysia ,muda mfupi baada ya kuchomwa na sindano ya sumu na wanawake wasiojulikana ambao wanahisiwa kuwa ni majasusi kutoka North Korea.
6175e6ba3d9ef8befb2ec3ef5b918c22.jpg

Alikuwa Kwa miaka mingi haelewani na Mdogo wake rais Kim na kuna kipindi alijaribu kusafiri Kwa hati feki ya Taifa la Dominica ila akashtukiwa
500d6aefebfbaabb6c133f9fb4386ba5.jpg
.
Na kipindi cha nyuma aliwahi kunusurika kuuawa na watu asiowajua, yeye na Rais Kim wameshea Baba ila mama ni tofauti.
2bdcc5436ba424db8da6c87e56e00359.jpg
.
Alikuwa ni mkosoaji mkubwa Sana wa utawala wa mdogo wake.
Dogo ni hatari sana,anaua mpaka ndugu zake,hata Mke wa Mjomba wake yaani Shangazi yake alipewa simu akafa alipokuwa anahoji kwani mumewe alikufa.

Aliua pia mchumba wake wa zamani na marafiki zake 8 wa kike wa huyo mchumba kwa kukataa kuolewa na yeye
 
kaka wa kambo wa raisi wa korea ya kaskazim kim jong ameuwawa kwa kupuliziwa dawa usoni huko Malaysia,polisi bado wanachunguza kwa kina undani wa kifo chake.vyombo vya habari tofauti tofauti duniani kama aljazeera nk vimeripoti kifo cha kim jong nam ambae alikua akiishi nje ya korea baada ya kufukuzwa nchini kwake korea ya kaskazini kwa muda mrefu kabla hata ya kifo cha hayati marehemu baba yao aliekua mtawala wa korea kaskazini pia.
 
Hivi huyo dogo yeye anadhani ataishi milele hapa duniani?

Huyo 'kinda' ni dhahiri ziwa la moto linamsubiri kwa hamu kubwa atakapokuwa ameondoka hapa duniani.
 
Ndogo ni hatari sana,anaua mpaka ndugu zake,hata Mke wa Mjomba wake yaani Shangazi yake alipewa simu akafa alipokuwa anahoji kwani mumewe alikufa.

Aliua pia mchumba wake zamani na marafiki zake 8 wa kike wa huyo mchumba kwa kukataa kuolewa na yeye
Ndio mana namkubali dem kukataa kuolewa na mm n aina ya dharau
 
Back
Top Bottom