Uzuri tunafarijiana huku kwenye mitandao njoo huku vijijini habari ni magufuri tu lakini huku na wapiga kura wapo huku vijijiniNani wakuipigia kura hivi ilivyoleta umasikini huko vijijini thubutu yako mwaka huu dunia itashangaa kitakachotokea Tanzania sisi wengine tuko huku vijijini wananchi wamechoka mno na hiyo CCM
Ndo hapo sasa ndugu! Wanaturudisha nyuma miaka 100 alafu tuwape kura??? Hapana Aisee!!Mimi niipigie kura CCM ? Mwenyezi Mungu hajanipa akili za kuchezea kiasi hicho.
Vijiji vya wapi?? Mtwara au Songwe?? Au Mbeya??? Au Katavi?? Au Kagera?? Au Mara????Uzuri tunafarijiana huku kwenye mitandao njoo huku vijijini habari ni magufuri tu lakini huku na wapiga kura wapo huku vijijini
Ukiwa huru na haki sidhani kama CCM itashindaMwaka huu CCM ikishinda uchaguzi kweli watanzania watakuwa matahira
Uwe Huru usiwe huru, CCM hashindi mwaka huu! Kam hawaijui nguvu ya umma wataijua mwaka huuUkiwa huru na haki sidhani kama CCM itashinda
Ccm bado itashinda kwa kishindo subilini October mbwebwe zitaisha hizo
Tukutane October Watanzania wakimsimika Raisi Tundu Antipas Lissu!Hata Kama ni usukule mleta mada umezidi yaani lisu awe raisi? Haiwezi kutokea
Ndugu yangu CCM ni mashetani. Sio binadamu hawa watuMambo ya anabu Sana haya, vijana wetu wamemaliza chuo, hakuna Ajra wameamua kujitafutia kipato kwa kuboresha mipango miji alafu ccm inawazuia?
Endeleeni kujifariji. Imepanda wapi??? Mnajifanya mnakumbuka Shuma asubuhi??? Nenda LINDI na Ruvuma, katavi , Rukwa alafu zungumza hayo kama haujapopolewa??Ccm lazime ishinde mwaka huu maana wakulima wakorosho wapo waliolipwa, bei ya mahindi imepanda, wakulima wanapanga bei zao wanazotaka bila kuingiliwa na serikali.....vituo vya afya vimejengwa..mabarabara ndio usiseme.....wapo wengi tuu waliofaidika katika serikali ya awamu ya tano....watampigia magufuli kura ya ndio.