Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,943
Mwaka huu CCM ikishinda uchaguzi kweli watanzania watakuwa matahira
Kuchagua CCM ni kuchagua laana ndani ya familia yako
Ni mwambie mie kama nani?Mwambieni kamanda lisu ajue anakwenda kutafuta ufadhili kwa muda wa siku kumi na anapaswa kuzunguka mikoa kumi na kisiwani mikoa mitano. Anapaswa kuwa makini na maneno maana wanamchora kama ameshaanza kampain . Atulie tu wakati ukifika atamwaga pombe
Alafu ajue yeye yupo mioyoni mwa watu kuliko yule aliyopo midomoni mwa watu.
Huko kwenu Nanjilinji ambako hakuna hata uwanja wa ndege lakini mkiambiwa kanunua ndege mnashangilia hadi machozi atapata ushindi wa kishindo. Sio kosa lenu bali bado mko usingizini.Lord denning, Unajidanganya bure. Rais Magufuli atashinda kwa kishindo.
Mashabiki wa CCM wanatia huruma ndugu yanguHuko kwenu Nanjilinji ambako hakuna hata uwanja wa ndege lakini mkiambiwa kanunua ndege mnashangilia hadi machozi atapata ushindi wa kishindo. Sio kosa lenu bali bado mko usingizini.
View attachment 1534011
Kama umesoma post vizuri na akili yako iko sawa siamini Kama unaweza kuja na hii commentCcm bado itashinda kwa kishindo subilini October mbwebwe zitaisha hizo
Unadhani Lissu hajui sheria na taratibu???Mwambieni kamanda lisu ajue anakwenda kutafuta ufadhili kwa muda wa siku kumi na anapaswa kuzunguka mikoa kumi na kisiwani mikoa mitano. Anapaswa kuwa makini na maneno maana wanamchora kama ameshaanza kampain . Atulie tu wakati ukifika atamwaga pombe
Alafu ajue yeye yupo mioyoni mwa watu kuliko yule aliyopo midomoni mwa watu.
Hoja yako ni nini?Hawa watu hawajifunzi na Matamko yao Uchwara!!
Walipiga marufuku uagizwaji wa Sukari- Bei ya sukari ikapanda kutoka 1800-2800/3000
Walipiga marufuku wafanyabiashara kununua korosho- Sasa biashara ya korosho huko kusini ni kizungumkuti na wananchi hawataki kusikia
Walipiga marufuku wakulima wa mahindi kuuza mahindi nje- Bei ya mahindi ikashuka vibaya na wakulima wakawa masikini
Wakapiga marufuku wakulima wa tumbaku kuuza kwa wafanyabiashara Eti wauze kwa nyama vya ushirika- Bei ikashuka vibaya na wakulima kuumia
Sasa wamekuja wanasema vijana wajiajili, wanajiajili kuanzisha makampuni na wanakuja na haya matamko [emoji116]
View attachment 1533982
kipindi cha kwanza pamoja na wizi wa kura/kura za maruhani na ushenzi wa Jaji Lubuva na NEC aliambulia 53% ....bado unaota mtu huyo huyo ashinde kwa kishindo? bila figisu oktoba 2020 akipata 27% nawapa CCM zawadiLord denning, Unajidanganya bure. Rais Magufuli atashinda kwa kishindo.
Ccm bado itashinda kwa kishindo subilini October mbwebwe zitaisha hizo
pamba na ufuta navyo kimenuka huko.Hawa watu hawajifunzi na Matamko yao Uchwara!!
Walipiga marufuku uagizwaji wa Sukari- Bei ya sukari ikapanda kutoka 1800-2800/3000
Walipiga marufuku wafanyabiashara kununua korosho- Sasa biashara ya korosho huko kusini ni kizungumkuti na wananchi hawataki kusikia
Walipiga marufuku wakulima wa mahindi kuuza mahindi nje- Bei ya mahindi ikashuka vibaya na wakulima wakawa masikini
Wakapiga marufuku wakulima wa tumbaku kuuza kwa wafanyabiashara Eti wauze kwa nyama vya ushirika- Bei ikashuka vibaya na wakulima kuumia
Sasa wamekuja wanasema vijana wajiajili, wanajiajili kuanzisha makampuni na wanakuja na haya matamko 👇
View attachment 1533982
Hoja yako ni nini?
Kwanza hayo makampuni yanafanya mambo ya kijinga sana kwenye bei.
Kiufupi yamegeuka madalali ya kuuza viwanja bei ghali sana tofauti na uhalisia.
Lukuvi yuko sahihi na pengine amegundua uozo mkubwa kwenye hili.
Nakukumbusha kitu; kati ya mawaziri smart wa awamu hii Lukuvi ni mmoja wao au pengine akawa wa kwanza kabisa.
Kwahiyo upinzani ukishinda hamtanunua Ndege?Huko kwenu Nanjilinji ambako hakuna hata uwanja wa ndege lakini mkiambiwa kanunua ndege mnashangilia hadi machozi atapata ushindi wa kishindo. Sio kosa lenu bali bado mko usingizini.
View attachment 1534011