BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
acha chai we mzeeMke wangu yuko tayari kulala njaa hata wiki tatu ili mradi dudu anapata
Labda akila hizo mboga tano atazaa na mama lishe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Watu hawaolei chakula
duh!Mkuu mbona 1000 bei ghali sana..
Posta unasukuma mihogo ya 600 au 800 maisha yanasonga..
Ila uwe na uhakika, maji yaliyo oshea mihogo, ndio hutumika kuoshea sahani za kulia, ndio huwekwa kwenye ndoo ya kunawia mikono, pia nahisi hutumika kuongeza mchuzi wa chachandu...!
Karibu Posta tuendelee kupunguza gharama ya kuishi DSM.
Chai gani mzee. ? Mwanaume na mwanamke wanaona kupigana dudu na kuzaliana . Mengine yote mbwembwe tu. We feel the holeacha chai we mzee
Au kuna madhumuni mengine unayoyajua kuhusu kuoa .acha chai we mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda akila hizo mboga tano atazaa na mama lishe! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sent using Jamii Forums mobile app