Hio ilikuwa mbinu yake tu ya kutafuta huruma na kuudanganya uma! Lakini silku watanganyika wakiujua ukweli wanaweza kumfuturu bila vinegar wala kachumbari
Kwa hiyo britanicca alitudanganya?
Sumu Ina madhara ya baadae! Side effects..!!!Kwa hiyo britanicca alitudanganya?
kichwa cha mada kinasema hakupewa sumu, sasa hapo juu unasema, "sumu ina madhara ya baadae". Sasa mbona kunaukinzani na ulichokiandika kwenye headline?Sumu Ina madhara ya baadae! Side effects..!!!
= Huruma ili wapate wakita kachoo...Kama binadamu wangeweza kuelewa lugha ya binadamu...!
Mpango, mzee wa watu acha ajipumzikie, hata hakuwa na habari ya wanamtandao. Siku ile ameteuliwa kuwa makamu, katika kuongea akaanza kukaripia akidhani ni zama za Magufuli, alipotulizwa tuu, akajikalia kimya.
Umetumia VPN?Hata hueleweki
nakumbuka hilo, kuna mstaafu ni rafiki yake aliwahi kusema baada ya lile karipio hakuwahi kuwa sawa maana ni kama alijua wana mtafutia sababu.Mpango, mzee wa watu acha ajipumzikie, hata hakuwa na habari ya wanamtandao. Siku ile ameteuliwa kuwa makamu, katika kuongea akaanza kukaripia akidhani ni zama za Magufuli, alipotulizwa tuu, akajikalia kimya.
Hapana mkuu ChamotoKwa hiyo britanicca alitudanganya?
Haeleweki, au wewe ndiyo huna hiyo akili ya kumuelewa! Wewe uwezo wako wa akili unaishia kwenye kula tu na kukata gogo.Hata hueleweki