12Jose2018
Member
- May 2, 2018
- 12
- 2
Sawa mkuu inakuwa changamoto kweli vp kwa mayokeo yake ataanzia diploma ama certificateHapana hawez lazima awe na physics
Naomba kama uko na uzoefu wa hivo vyuo mkuu unipe taarifa na usajili mkuuAlikuwa anawaza nn kuto soma physics? Mwache akakomae na cbg au mtafutie chuo cha mifugo, au kilimo akawe hata bwana shamba au tabibu wa mifugo
C unajua vijana wa siku hizi bhana unampeleka shule unashangaa kumbe aliacha baadhi ya masomo ndo kumwaamini kijana bila kufuatilia maendeleo yakeAlikuwa anawaza nn kuto soma physics? Mwache akakomae na cbg au mtafutie chuo cha mifugo, au kilimo akawe hata bwana shamba au tabibu wa mifugo
Kweli kabisa mkuuPole sana ila naamini humu hutakosa usahihi wa jambo lolote, au pia anaweza community health kama angalau biology amepata D ingawaje akisoma kilimo na mifugo anaweza akawa na future ya uhakika zaidi hasa kutokana na serikali kuingia katika uchumi wa viwanda na kama unavyojua malighafi nyingi za viwanda zinatoka kwenye kilimo...!!!
Ngoja nucheki na hii mkuuSije ukajisahau ukanpeleka community health utajuta bora fukuzia kozi inaitwa health record ipo kcmc
Civ- DMkuu umesahau kuweka crdt zake katika hayo masomo
TANGAZO LA KUJIUNGA NA VYUO VYA SERIKALI VYA KILIMO 2018/19 — Ministry of AgricultureNaomba kama uko na uzoefu wa hivo vyuo mkuu unipe taarifa na usajili mkuu