Wale wanyama hawakutoroshwa kama wengi wanavyodai. walikua na permit zote except export permit. Ambayo ilikuwa eme delay kidogo kutokana na sababu mbalimbali. So ilibidi ndege isubiri kuondoka, lakini kwa sababu ilishapangwa iondoke wakati huo ikabidi waondoke tu. Vyovyote vile wangeondoka tu