....Point noted. Kumbe hapa ni suala la lugha gongana. Kwa kuwa wanyama walichukuliwa kutoka mbugani mpaka KIA na watu wakishuhudia kwa hiyo hawakutoroshwa...Good one!!Hii ni kejeli (satire) jamani, naunga mkono hoja. Hakuna wanyama waliotoroshwa. Walichukuliwa tu kwa kuwa wananchi tumeridhia wapokwe.
Hao waliotoa liseni za kukamata wanyama wamechukuliwa hatua gani??????? Huo ni usanii na kudanganyana tuu!!!!!!!!Namnukuu Ole Sendeka"SHERIA INAKATAZA KAMPUNI YA KIGENI KUKAMATA WANYAMA,KATIKA UTOROSHAJI WA WANYAMA ZAIDI YA 100,WAGENI WALIPEWA LESENI ZA KUWAKAMATA NA WALITOROSHWA CHINI YA ULINZI WA BAADHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA".
Nami naunga mkono hawakutoroshwa bali wahusika walikuwa na baraka zote za mamlaka zinazohusika, ndo maana hata KIA waliweza kuondoka bila tatizo -Mwisho ungemalizia hivi...'' I am just speaking...''

Usichukie nikikwambia kuwa wewe ni An Intellectual psychiatrict!
Kama kweli haya unayasema kwa dhati, kawatetee wale walio na kesi mahakamani kuhusiana na sakata hili.Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

Nami naunga mkono hawakutoroshwa bali wahusika walikuwa na baraka zote za mamlaka zinazohusika, ndo maana hata KIA waliweza kuondoka bila tatizo -

Kama kweli haya unayasema kwa dhati, kawatetee wale walio na kesi mahakamani kuhusiana na sakata hili.

Hao waliotoa liseni za kukamata wanyama wamechukuliwa hatua gani??????? Huo ni usanii na kudanganyana tuu!!!!!!!!

Mwisho ungemalizia hivi...'' I am just speaking...''

Umekula njama ya kutorosha/kumtorosha.
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

inawezekana kabisa hujui tofauti kati ya KUTOROSHWA na KUTOROKA! nashindwa kuhukumu ufahamu wako hasa palle unaposema "kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua..." hakika weledi wako wa lugha ya kiswahili ni finyu sana! mtu anapotoroshwa maana yake ni mpango uliopangwa baina ya mtoroshwaji na watoroshaji ili kufanikisha azma yao na wakati mwingine mpango wa utoroshaji waweza fanyika bila ya mtoroshwaji kujua kabla,kwa maana hiyo mpango huo unapofanyika wapo watu wanaojua mpango huo mbali ya mtoroshwaji.

kwa hiyo hata wanyama hao walipotoroshwa wapo watu waliohusika na mpango huo, kujulikana kashfa hiyo kwa umma inawezekana kabisa imetokana na kuvujishwa kwa siri hiyo toka miongoni mwa wahusika wa mpango huo, aidha kwa kudhulumiwa mgao au kutotimiziwa ahadi kutokana na mapato ya mpango huo au pengine kwa uzembe tu au sababu nyinginezo.

ZOEZI: tofautisha sentensi zifuatazo,

1. mwizi tuliyemkamata ametoroka.

2. mwizi tuliyemkamata ametoroshwa.

kwa hiyo wanyama hawakuroshwa kwani serikali iliridhia

Kumbe wagonjwa wengi humu!!