Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

ni vingapi vingine vilivyotoroshwa bunge halijagundua?

Kwani bunge likigundua ndo inakuwaje, mbona bunge limegundua utoroshaji wa mamilioni ya Jairo na limebaki kujiumauma tu. Hapa ufahamu wa tatizo unatakiwa, tunachezea matawi ya mtu ati utanyauka- haya mambo yote ni masterminded na mkuu wa kaya, tuache kuwalaumu watu wadogowadogo haitusaidii.

karibu tutasikia na raia wametoroshwa kwani huko tunakoelekea itauzwa mpaka nchi

watu walishachukua advance tayari we ndo unagutuka sasa hivi pole sana..

kwa hiyo tufanyeje?

hili swali lina majibu page tano kwa mbunge wa cdm na wa ccm ni mistari mitatu tu inatosha

kaka Ivuga hongera kwa kula ndala zote mbili za mzururaji wa jangwani..

issue hii haitawahusu wakubwa,,,,,,hao waliokamatwa as wahujumu uchumi matatizo yao yataisha KIMYAKIMYA

Wasije tu wakawakorimba ili kuficha ukweli.

Sasa Advo- Mwale si anaozea lupango?!, mwaka huu tutasikia mengi.
let the dead burry the dead
Wajukuu zetu watakuta mbuga tupu na mashimo makubwa aridhini.wataambiwa kulikuwa na wanyama hapa,kulikuwa na gold hapa,watasoma katika somo la history mashuleni.
RIP tanzania.

Al shabaab. Umeona mbali mkuu! I wonder what's ur government good at?