Nasian Ressy
Senior Member
- Jul 12, 2026
- 122
- 318
"Hakuna wanaume sai Tanzania!" Hii iweke huku🗑️
Zingatia umoja na wingi kue
Tupo sana wachache walioukana uwanaume wanatuangushaSaiv tena wanawake sio dhaifu wao ndoh wanaowamiliki wanaume kwa kuwahifadhi makao. wanaume wamekuwa bure sana wana penda ulain mara wasuke nywele,watoboe sikio hawana future wapo tuh mwanaume saiv anaish maisha ya laana hajijui hajielew yupo tuh kwa sababu watu wapo
Una changamoto ya afya ya akili. Siyo bureSaiv tena wanawake sio dhaifu wao ndoh wanaowamiliki wanaume kwa kuwahifadhi makao. wanaume wamekuwa bure sana wana penda ulain mara wasuke nywele,watoboe sikio hawana future wapo tuh mwanaume saiv anaish maisha ya laana hajijui hajielew yupo tuh kwa sababu watu wapo tuh
Saiv tena wanawake sio dhaifu wao ndoh wanaowamiliki wanaume kwa kuwahifadhi makao. wanaume wamekuwa bure sana wana penda ulain mara wasuke nywele,watoboe sikio hawana future wapo tuh mwanaume saiv anaish maisha ya laana hajijui hajielew yupo tuh kwa sababu watu wapo tuh
Nasikitika sana napo mwona mwanaume anajiuza
Sawa mkuu ungetulia uandike andiko moja au upo jogging?Wazaz wengi wana matumain kwa wanao wa kike