Hakuna Utawala mrahisi kupiga pesa kama huu wa Rais Samia

Hii nawapa siri na wapo wataokuja kupinga maana naifichua hii siri na hakuna anayetaka ukweli uwe uchi.

Kwenye masikani za vibopa wananchi hizi story ndio kemkem yaani hakuna uongozi raisi kujilimbikizia mimali kama huu wa mama yaani unaambiwa mama yupo bize balaa yaani majukumu ya nchi yanamzonga hatari, hana kabsa muda wa kukagua kagua watu wanafanya nini? Labda kwa vile ndio anauonja na kuuzoea zoea urais.

Yaani wewe unatakiwa uwe serikalini tu mihela kede kede yaani sekta zotee, ukiwepo unaoga pesa tu.

Yaani watu watampambania mama uchaguzi unaokuja apite ili waendelee kuvuna mipesa ya walipa kodi ambao walala hoi, inasemekana msimu unaokuja ndio raia watanufaika ila kwa sasa mtakula za uso mpaka mwaka wa uchaguzi upinduke.

Hao watoto wa viongozi ndio usiseme wanaoga pesa hatari yaani sio mchezo yule babu alikua amebana sanaa mama kama kaja kuachia mwanya watu waogelee.

Hapo kwa viongozi tu sikwambii kwa wafanya biashara yaani wafanya biashara wapo free vibaya snaa mpaka wanadiriki kugoma kipindi cha mwenda zake unawezaje kugoma.

Hapo TRA yaani watu wanaendelea tu kusomba mipesa hayaa waache wakati wao huu.

Kama una mwanao amemaliza chuo nenda kanunue hata nafasi apate kazi serikalini kabla mama ajatoka uongozini utajipongeza kumsomesha mwanao.
Uko sahihi sana. Licha ya mipesa kuwa nje nje utawala huu unaonekana kuamini sana katika kutumia fedha kununua ufuasi na ushabiki. Kile mwenye sauti au ushawishi hununuliwa. Hadi wanahabari uchwara, wasiokuwa hata na upeo wala uwezo wamepewa pesa kuendesha kampeni za kijinga na ambazo wala hazina impact. Kodi zetu zinatumika vibaya sana.
 
Hii nawapa siri na wapo wataokuja kupinga maana naifichua hii siri na hakuna anayetaka ukweli uwe uchi.

Kwenye masikani za vibopa wananchi hizi story ndio kemkem yaani hakuna uongozi raisi kujilimbikizia mimali kama huu wa mama yaani unaambiwa mama yupo bize balaa yaani majukumu ya nchi yanamzonga hatari, hana kabsa muda wa kukagua kagua watu wanafanya nini? Labda kwa vile ndio anauonja na kuuzoea zoea urais.

Yaani wewe unatakiwa uwe serikalini tu mihela kede kede yaani sekta zotee, ukiwepo unaoga pesa tu.

Yaani watu watampambania mama uchaguzi unaokuja apite ili waendelee kuvuna mipesa ya walipa kodi ambao walala hoi, inasemekana msimu unaokuja ndio raia watanufaika ila kwa sasa mtakula za uso mpaka mwaka wa uchaguzi upinduke.

Hao watoto wa viongozi ndio usiseme wanaoga pesa hatari yaani sio mchezo yule babu alikua amebana sanaa mama kama kaja kuachia mwanya watu waogelee.

Hapo kwa viongozi tu sikwambii kwa wafanya biashara yaani wafanya biashara wapo free vibaya snaa mpaka wanadiriki kugoma kipindi cha mwenda zake unawezaje kugoma.

Hapo TRA yaani watu wanaendelea tu kusomba mipesa hayaa waache wakati wao huu.

Kama una mwanao amemaliza chuo nenda kanunue hata nafasi apate kazi serikalini kabla mama ajatoka uongozini utajipongeza kumsomesha mwanao.
kama nakuelewa mkuu
 
Mwaka huu mtasema kila kitu mpaka maji myyaite mma lakini hatuwarudishi bandarini tena muendelee kuipa. Mwisho umefika wa wizi wenu
 
Hii nawapa siri na wapo wataokuja kupinga maana naifichua hii siri na hakuna anayetaka ukweli uwe uchi.

Kwenye masikani za vibopa wananchi hizi story ndio kemkem yaani hakuna uongozi raisi kujilimbikizia mimali kama huu wa mama yaani unaambiwa mama yupo bize balaa yaani majukumu ya nchi yanamzonga hatari, hana kabsa muda wa kukagua kagua watu wanafanya nini? Labda kwa vile ndio anauonja na kuuzoea zoea urais.

Yaani wewe unatakiwa uwe serikalini tu mihela kede kede yaani sekta zotee, ukiwepo unaoga pesa tu.

Yaani watu watampambania mama uchaguzi unaokuja apite ili waendelee kuvuna mipesa ya walipa kodi ambao walala hoi, inasemekana msimu unaokuja ndio raia watanufaika ila kwa sasa mtakula za uso mpaka mwaka wa uchaguzi upinduke.

Hao watoto wa viongozi ndio usiseme wanaoga pesa hatari yaani sio mchezo yule babu alikua amebana sanaa mama kama kaja kuachia mwanya watu waogelee.

Hapo kwa viongozi tu sikwambii kwa wafanya biashara yaani wafanya biashara wapo free vibaya snaa mpaka wanadiriki kugoma kipindi cha mwenda zake unawezaje kugoma.

Hapo TRA yaani watu wanaendelea tu kusomba mipesa hayaa waache wakati wao huu.

Kama una mwanao amemaliza chuo nenda kanunue hata nafasi apate kazi serikalini kabla mama ajatoka uongozini utajipongeza kumsomesha mwanao.
Asante mungu kwa kutuona na sisi mana kipindi Cha jpm alitengeneza wezi wake wachache na eakaiba haswaa mpaka Leo walitaka kuishi Miaka mia bila kazi wanaweza mana walikomba kila kitu huku tukidangwa eti rais ni mzalendo. Akina makonda Leo wanaishi kama wako ulaya kumbe ni hapahapa bongo Wala hahitaji kazi nyingine. Akina biswalo nao wameficha mpaka pesa china. E e mungu thank you kwa kutuona na sisi angalau tule
 
Back
Top Bottom