CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 467
Kuna bwana yule anayejiona yeye ndio mlokole mtakatifu alafu anasema hataki kuchimbua makaburi. Lakini nazani bibilia inasema usinyooshee kidole njiti kwenye jicho la mwenzako wakati kuna boriti kwenye jicho lako.
Sasa huyu bwana kilasiku zinavyoenda naona anazidi kuyazungushia maua haya makaburi ya ukoo yenye mapepo alafu bila aibu bado anajiona mtakatifu majukwaani
Sasa huyu bwana kilasiku zinavyoenda naona anazidi kuyazungushia maua haya makaburi ya ukoo yenye mapepo alafu bila aibu bado anajiona mtakatifu majukwaani