Hakuna ushirikina wala ramli za kisiasa za kumzuia Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania hadi 2030

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,836
Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanazania kwa muhula wa pili.
Hiyo ni ndoto ya mchana my friends, ladies and gentlemen.

Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi mkuu wa October, atakamata dola, ataunda serikali na kuongoza nchi bila mbambamba yoyote hadi 2030.

Mueleze na mwenyekiti wa chama chako kuhusu jambo hili muhim sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Sawa kabisa.
Jiaminini sasa!
 
Huu uchawa wa kuimba mapambio na nyimbo za kusifu na kuabudu unafanya watu wakuone kama taahira na wakupuuze.
tuliza mihemko ndugu mpiga ramli,
haya yote ni katika kueleza ukweli mtupu kwa wadau wa jf, so, just relax na nashauri uachane na ushirikiana katika siasa 🐒
 
Ila mkubali alijiteua bila kufuata katiba ya chama hata muasisi wa Tanzania hakufanya!
 
Gentleman,
huo ni miongoni mwa ushirikiana na ramli potoshi wananaoutumia vibaka na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo nchini kujifariji na faraja hewa

natumai wew sio moja wao 🐒
 
a.k.a Mr gentleman! Walau kwa nyakati hizi unatakiwa kujua pumzi hii yatoka kwa mwenyezi Mungu tu, kwahiyo jambo pekee la kuomba ni kuomba ufike nyakati hizo ukiwa na macho yako na masikio yako Ili usije kuwa kama akina Thomaso
 
Bado hamjajibu hoja za mheshimiwa polepole lakin
1) Hii ni awamu ya sita,inayofanya kazi tofauti kabisa na awamu ya tano,ilikuwa ni lazima awamu hii ijitofautishe na awamu ya tano iliyokuwa na ukatili wa kutisha na kuogofya,(away from sins)
2)Kamati kuu kwa nguvu zote ndiyo iliyompitisha mgombea wake,kwa kura zote (maamuzi ya kamati kuu,halimashauri kuu) it's un questionable,note this.
3)Hakuna umaana kwa mwenye akili kuchapisha form moja na kuandaa sherehe za kwenda kuchukuwa form ni utoto,hivyo hongera kwa kamati/ hamashauri kuu.
4)Hakuna ubaya wowote kwa makamu ambaye kikatiba ni mrithi wa utawala,kumaliza awamu zake kwa maana ya miaka 10,si dhambi.
5)poleni sana magenge ambayo yalikuwa yamejiandaa kufanya lolote ovu,its too late!
6)TUJIANDAE BY OCTOBA KUPIGA KURA ZA NDIYO
cc,October 2pm
images.png
 
Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanazania kwa muhula wa pili.
Hiyo ni ndoto ya mchana my friends, ladies and gentlemen.

Dr.Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi mkuu wa October, atakamata dola, ataunda serikali na kuongoza nchi bila mbambamba yoyote hadi 2030.

Mueleze na mwenyekiti wa chama chako kuhusu jambo hili muhim sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mshirikina ni wewe . Usiyejitanbua na jinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Back
Top Bottom