Hakuna upendo hapa duniani zaidi ya upendo wa mama kwa mtoto,hakuna cha baba wala nini

Kwasababu babu hayupo soft ndio maana baba huitwa mwanajeshi, baba hawezi kukupa upendo soft kwasababu anataka ujifunze kuwa dunia haipo soft. Ndio maana asilimia kubwa ya watoto wanakulia kwa mama bila baba huishia kuwa legevu kwa kukosa uwanajeshi wa baba.


Ndukiiiii ‍♂️‍♂️‍♂️
Sikwel kiongoz,fanya utafit,watoto watu weng succesfull wamelelewa na singo mathaz..had obama.
 
Wazaz wote wanawapenda wanao kwa kiwango sawa....utakuta baba ndio katoa pesa za kununua vyakula vyote hvyo,hata vyombo ulivyopikiea msosi na ulivyobebea ila ajabu n kwamba mchango wa baba mtafutaji hauonekan hapo bali wa mama alipika. ....,wanaume kaz tunayo
 
Nikweri lakini tusikalili kwamfano kuna mama mmoja alimuuwa mwanae kwa sumu na kumzika chini ya kitanda chake cha kulala, tangu 2016 kesi imegundulika 2018 kwaiyo kuna mama wazuri na mama wabaya na kwa baba vivyo hivyo!
Kwenye wazuri kuna wabaya pia mkuu.
 
Ndo mtuheshimu wakati mwingine tunakubali kuitwa majina yote kwa sababu tu sisi ni single moms ila hatukuthubutu kutoa mimba zenu sababu tunawapenda sana japo tulijua tutasimangwa mkishakuja duniani
Umeongea maneno yanayochoma,natokea sehemu ya mfumo dume sana lakini naheshimu wanawake na kwenye opportunity huwa naanzia na wadada.Women are everything to the world and world is nothing to them.
God bless the women
 
No,
Nilikuwa namanisha siku ya kusex unakuwa hujui hii siku ni ya hatar ninaweza pata ujauzito?
Je nikipata ujauzito huyu mzee baba kwa jinsi navyo muona atanioa au kulea hiki kiumbe?

Je nipo tayari kubeba ujauzito kipindi hiki??

Zamani nilikuwa nawadharau single mom, lkn kwa sasa kidogo akili zimepevuka. Ila hayo ndo maswali ambayo najiulizaa.

Mimi kuna dem wangu tulikuwa tunasex mpk siku ya hatar lkn baada ya hapo within 24hrs kuna vidonge vyake anameza kuzuia mimba ikitokea nimemwaga ndani though ilikuwa yatokea mara chache
Siku za hatari zinazinguaga nazo. Unaweza ukajiona uko safe kumbe mwili umechange. Tukija kwenye hivyo vidonge navyo vinazinguaga wakati mwingine.
Mpaka nalala na MTU Nina hakika likitokea LA kutokea naweza kubeba damu yake. Kutoa kunauma zaidi ya kubeba ujauzito miezi Tisa. Unakaa na maumivu ya kukatisha kiumbe mwingine kwa kuogopa kusemwa vibaya au kufukuzwa NYUMBAni au kukataliwa.
Nilifanyaga maamuzi ya kuzaa wakati nikiwa sina hata kazi na biashara zinasua Sua. Baba wa mtoto kazingua. Sikua na MTU yeyote wa kumgeukia zaidi ya mama angu. Hamna MTU alietegemea Mimi ningezaa na mwanaume ambae sio bf wangu wala hanihudumii. Nilikua nalia kila siku na sikutoa mimba. Nilikua tayari kufa na kiumbe changu ila sio kukitoa.
Sasa hivi naishi maisha yangu kwa amani ZOTE. hata MTU akianza kutusema vibaya huku single moms najisemeaga hamjui amani niliyonayo kuwa na huyu mtoto hivyo anaehukumu ahukumu kwa sababu akili yake imemtuma hivyo ila sijutii.
 
Upendo hujengwa na matendo!!....

Kuzaa pekee hakuunganishi upendo wa mama na mtoto bali matendo ya mzazi dhidi ya mtoto!!!

Kuna watu hawataki hata kuwasikia mama japo kuwa ndio waliozaa kwa sababu ya matendo yao juu yao!!!....

Ulezi na mahangaiko ya ulezi ndio vinavyojenga misingi imara ya upendo baina ya mzazi....kuzaa ni jambo lingine na kulea ni jambo lingine!!!!....
Kweli mkuu. Nina rafiki angu alienda kuishi na mwanaume kwa sababu tu hataki kurudi kwao sababu mama ake hampendi.

Mwingine ni mkubwa ana miaka 32 akianzaga kunilalamikia mama ake anavyomfanyia na alivyomfanyia mpaka analiaga maskini.
 
Umeongea maneno yanayochoma,natokea sehemu ya mfumo dume sana lakini naheshimu wanawake na kwenye opportunity huwa naanzia na wadada.Women are everything to the world and world is nothing to them.
God bless the women
Amen mkuu.
 
Ndo mtuheshimu wakati mwingine tunakubali kuitwa majina yote kwa sababu tu sisi ni single moms ila hatukuthubutu kutoa mimba zenu sababu tunawapenda sana japo tulijua tutasimangwa mkishakuja duniani
Kama ulifanya kabla ya kuolewa tena kwa hiari yako huna haja ya kutafta huruma maana ulijitakia mwenyewe kua singo mom
 
Kama ulifanya kabla ya kuolewa tena kwa hiari yako huna haja ya kutafta huruma maana ulijitakia mwenyewe kua singo mom
Na wala sitaki huruma yako. Nilikua naelezea upendo wa mama kwa mwanae hata MTU kama wewe kuona kuwa singo mom ni kama dhambi Fulani hivi isiyotakiwa MTU kuhurumiwa. Sikuangukia dudu wala sikukosa hospital ya kwenda kutoa mimba hivyo huna haja ya kuona huruma kama vile nilibakwa
 
Back
Top Bottom