Hakuna unlimited internet ya bei poa?msaada

Hakuna unlimited internet ya bei poa?msaada

Unadownload File gani Hilo linalokataa?

Nakushauri uje PM mkuu

Mkuu, kwenye iPad tunadownload kutoka app store tu, so Kama hiyo app iko app store nipe jina lake, vinginevyo sidhani Kama tutaelewana
 
@njuwa wamavoko,
Sijaelewa mdau,kwamba naweza tumia kwa simu ya kawaida samsung galaxy note 10.1?
 
hii pd proxy mi bado sijaielewa kabisa japo nataka nianze tumia
 
Back
Top Bottom